FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Balde with a sublime finish into the far post! Real Madrid 1-4 Barcelona
1736753525430.gif
 
Hii timu haina mashabiki
Japo jana imeifundisha madrid how to play football
Tupo....sema hatuna kelele kelele wala fujo wala kubishana...tupo na barca yetu tuna enjoy kimya kimya na mda mwingine ndo kama hivyo tunaumia kimya kimya....kama Mimi mashabiki wengi wa barca naowajua hawanaga kelele. Just enjoy football
 
Mashabiki wa Barca au wa Messi?[emoji28]

Mbona wakati wa messi kelele zilikua mingi sana humu na nje
 
Hao hawakua mashabiki wa Barca...hao walikua mashabiki wa messi kama ulivyosema. Mimi naongelea mashabiki wa Barca.

Halafu ngoja nikuambie kitu, kipindi kile kulikua na uMessi na uRonaldo...so watu hawakua wanashangilia Barca Bali Messi ama Ronaldo ili wabishane
 
Achana nae huyo madridista.

Ana uchungu wa kumpasua 5 fainali hasira zake anakuja kuzimalizia kwa kusema hii timu haina mashabiki.

Anafikri akisema hivyo ndo hasira za kufungwa zitaisha.

Sisi wakatalunya tunamchora na kumuona mshamba tu.

Mes que en club.

Visca El Barca.
 
Mashabiki wa Barca au wa Messi?[emoji28]

Mbona wakati wa messi kelele zilikua mingi sana humu na nje
Unafikiri ukisema hivyo hasira za kufungwa tano ndo zitaisha!

Mashabiki wa Barca tupo na tutaendelea kuwepo.

Visca El Barca.
 
Back
Top Bottom