FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wabondei wana wimbo wao wa harusi unakwenda hivi:UNYUMBAA NI MAPATANO NA MKAZIO KUWEMBEZANA YEE YEE NI MAPATANO NA HUYO MESSI KUWEMBEZANA YEE YEE NI MAPATANO MIMI NA GUTIEREZ KUWEMBEZANA OOHOO LA LA LA LA LA WAVIENGWA WETU BARCA KUWEMBEZANA NASI WAGOSI WAO TOKA KWA MZEE BENEDICT XVI!OUWII!

Hah hah hah hah haaah mkongwe mwenzangu leo kakamatika hana hadithi za Lapurja wala mestala
 
2 Ghana Internationals, 2 former Portsmouth players, 2 left footed strikes, both to Victor Valdes' left. BANG BANG! Milan 2 goals up.
Kwanza nawapa hongera AC Milan kwa kutufunza adabu jana,sawa nimekubali matokeo,ila kocha hatuna,kikosi kilekile hadi wamekariri,sikati chenga twawala lakini tulifungwa,ila goli la kwanza refa aliwasaidia mkono walikuwa 12,maana aliunawa kabla Prince kufunga goli,sawa sikatai,ila mimi namlaumu kocha hakuwa na mbinu,mechi ya jana Xavi ilitakiwa asingemaliza angewapa nafasi Thiago na hata Song maana AC Milan walijaza waafrika wengi so Song angesaidia,maana ukichunguza listi ya jana ndio ileile aliweka vs Granada yaani hata AC Milan walijua kabisa listi itakuwa hivi na hata Gang Chomba akapanga utadhani nae alikuwa na wana La Masia,hata mechi ya marudiano siwezi kusema lolote maana wapo frustrated na listi kocha hana mbinu kama Mourinho na Fergie,binafsi Milan wamenifunga ila siwakubali kiukweli hata kama watatutoa,imeniuma tumefungwa na timu mbovu yaani afadhali ningefungwa na Arsenal kuliko AC Milan maana kocha hata angeamua kuwasurprise angewaweka watoto kina Tello,Cuenca,Montoya,Adriano,Thiago nk AC Milan walikuwa wanafungwa palepale kwao kikosi cha jana walikisomea mwezi mzima na ukichunguza sawa kocha inabidi ubadilishe,ndio maana hata Mourinho sasa anaanza kuijua Barca maana kashasoma wachezaji wanaocheza ni walewale,Xavi namuheshimu ni mzuri ila kwa sasa hatakiwi kumaliza 90 zote kama Guardiola alivyokuwa anafanya na hata Del Bosque La Furia Roja timu ya taifa,haya mambo ya kukariri kikosi kila siku wachezaji hao hao mechi za kila kombe kama timu zote za bongo asipocheza fulani basi kocha anaingiliwa ndio inamponza huyu msaidizi Jordi Roura,nimemkumbuka Tito Francesc Vilanova i Bayo,binafsi nasema tena nimekubali nimefungwa ila hata kama tutatolewa kombe natabiri mshindi wa mechi ya Man UTD vs Real Madrid ndio anabeba maana makocha wana mbinu,zaidi ya yote Gang Chomba hongera najua ni party ya kufa mtu kwenu kumfunga mbabe wa soka duniani,ila yote 9 msijisahau sana lakini ni half time ila zaidi sasa tunasubiria mbinu za huyu mimi namuita msimamia mazoezi hana mbinu,wewe utaona tena ktk ligi kikosi kitakuwa hicho hicho,inabidi achanganya kumfanya mpinzani wako asikujue,binafsi imeniuma sana kufungwa na AC MIlan ni bora hata Arsenal ingenifunga kuliko vibonde Milan.Nimemkumbuka sana Josep Guardiola i Sala,yaani in the words of broken heart is just emotion taing me over!
 
gutierez,
I agree with you 100% for this analysis
 
Last edited by a moderator:

ila Gutierez mie naona hili tatizo la barca kukosa plan B lilianzia kwa guardiola na namna yao ya usajili ndio inasababisha tatizo hilo.unapokutana na timu zinazofunga mlango wa mbele na kukuzunguukia mlango wa nyuma kama waitaliano hutakiwi kucheza mpira wa kushambulia muda wote.unapaswa kupooza mashambulizi ili wajisahau wafungue milango.unatazama mlango upi umefunguka,wa kulia,kushoto au katikati..unapitia pale!hilo ndio tatizo kubwa la barca.sasa hawawezi kucheza mpira huu ninaosema kwa sababu unahitaji defenders zenye uwezo mkubwa wa kuhimili mashambulizi na kutupia mipira ya diagonal ya uhakika huku ukiwa na holding midfielders wenye uwezo wa kushambulia kwa haraka.
 
Kweli kabisa hii mechi ingewafaa hata angewaingiza baadae au kuanza kina Song na Thiago,mimi nina uhakika wangeanza au hata wangeingia kabla Milan haijapata bao tulikuwa tunawafunga,Xavi na Pedro ilitakiwa wasingemaliza,Iniesta wa watu alichoka uwanja mzima alihaha hadi nikamuonea huruma
 
Another thing is since 04/05 season the winners
have been
04/05 Liverpool(England
05/06 Barcelona(Spain)
06/07 Milan (Italy)
07/08 Man U (England) 08/09 Barcelona (Spain)
09/10 Internazionale(Italy)
10/11 Barcelona (Spain)
11/12 Chelsea (England)
12/13???? . No doubt it's Italy's turn & It better be
Milan
 
kama mtawatoa hawa jamaa basi ndoo yenu maana watu wote watakushangilieni..
 
AC MILan,kuwafunga tutawafunga sema haijalishi eidha 1-0 tutatoka,2-0 penati au 3-0 nk tunawatoa,ila ushindi nou camp upo sema hatujui utakuwa wa kuwapeleka robo barca au la!,Milan kombe hachukui wabahatishaji tu,walikuta wachezaji wa Barca walichoka walewale mechi ya ligi vs granada na j5,na hata ukikumbuka uefa iliyopita real madrid na barca zilichuana huku mechi zao za nusu wakakutana na bayern munich na chelsea respectively zikatolewa zote 7bu walichoka wachezaji wale wale mechi waliokutana el clasico na ktk semi uefa champs ligi.
 
Barca vs Sevilla leo nou camp,jana ktk derby ya Basque,Atletico Bilbao kafungwa kwake san mames na hasimu wake mkubwa real sociadad 1-3
 
zile mbili bila ndio kosa kubwa na hatua ya mtoano mingi barca aliyocheza na wataliano alikuwa anatoka so tusubiri tu nini kitatokea..
 
we gonna see,ntakuambia,hawa weupe tu AC MIlan,waulize 2004 kwa deportivo nini kiliwatokea waliongoza 4-1,wakala 4-0 marudiano,ngoja siku zisogee tutajua
 
Nzokanhyilu uko wapi?
Ulianzisha uzi kisha umeutelekeza...
Njoo ujibu hoja, sio unamuachia Gutierez peke yake.
Ona sasa wadau watakavyomshukia...
 
Hawana plan B ukikumbuka gemu ya Chelsea walifungwa kutokana kushambulia bila ya ulinzi imara nyuma
Tusubiri Jumamosi marudio na Real
 
Puyol kachoka,kocha atafutwe huyu hana mbinu mpya!huenda ndio mwanzo wa graph ya barca kuporomoka
 
mkuu ukishafika kileleni huna pa kwenda zaidi ya bondeni!!

kwi kwii!kwa hiyo unataka kutuambia watoto wa catalunya bembea yao imeshafika juu sasa inarudi chini!tatizo ilipofika juu kamba zote mbili zilikatika sasa inarudi chini kwa principle ya Physics inaitwa FREE FALL,yaani RESISTANCE=0!
 
Back
Top Bottom