FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

Imetolewa kiboya sana
Kwanini unasema kiboya? Safari ya Villareal ilianza kufanya surprise kwenye mechi dhidi ya Atalanta walikuwa away ila walichofanyiwa Atalanta hawakuamini na hawa wahuni. Imekuja kwa Ajax wengi walichukulia kwamba Ajax watapita lakini imekuja kutolewa na sasa timu ambayo ilitegemewa kucheza fainali msimu huu nayo wamefanyiwa surprise na hawa Villareal
 
Daahh, kweli mkuu.

Wakubwa washaanza kujiandaa kisaikolojia
20220414_190011.jpg
 
Hapo ndio unajua kumbe Arsenal ni Coastal Union iliyochangamka. We timu imefundishwa na Unai na bado ina mbwela. Tatizo kumbe sio makocha.
 
The bavarians wakishinda kesho against BVB wanakuwa Mabingwa.

Hili goma litapigwa pale Alianz Arena.
 
Uzi unakirass 5? Halafu kule vibanda umiza utasikia, ondoa man utd eti weka aseno...nyambaavi
 
Ahsante Sana Sana nilitafuta sana Uzi wa timu yangu pendwa FC BAYERN MUNCHEN #MIA SAN MIA WE ARE TOGETHER [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Bayern Munich Kuna haja ya kubadilisha kocha Bayern katoa sare mbili mfululizo kweny game za ligi tena akiwa allianz arena Yan Kam ya wekend iliyopita madogo wamechomoa goli dakika ya tisini Kwa penati afu kocha anashindwa kupangilia kikosi kabisa mara ampeleke de lght mbele Kam mshambuliaji mara sadio mane akae bechi kiufupi jamaa timu haiwezi
 
Nashindwa kuelewa sijui ni upangaji wa kikosi tu, mbona kocha anababaika Sana..
 
Nakumbuka 2001 wanamtoa Man Utd robo fainal kwa 3 - 1 (win home and away), nusu fainal Real Madrid anakufa kwa 3 - 1 (win home and away), Giovani Elber akiwa ni moja ya hatari kwenye hizi game lakini timu ya taifa hayumo.

Fainali Valencia anakufa kwa matuta, baada ya hapo upepo ukakata UEFA.

Ile mijamaa ilikuwa hatari sana.
Moja ya vitu nakumbuka kwenye hiyo fainali ni team captain wa timu zote mbili huku Steffen Effenberg na Gaizka Mandieta. 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom