Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1684621772817.png


1684621748089.png


Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo.

Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii.

Haipo kwenye source ila kwenye suala la pesa za malazi, usafiri na kujikimu hakuna hilo fungu katika bajet, ila huenda itakuwa kuna maelewano kwamba team yenye changamoto kiuchumi zikifuzu hatua fulani kuna asilimia kidogo ya pesa watayopewa Ila kwenye yale malipo kamili watailipwa kiasi kilichobaki.

CAF Online
 
Kwa hiyo Yanga wataizidi Simba US$ 100K tu

Ambayo kwa pesa yetu ya madafu ni kama Tshs 230M tu

Shirikisho ni mashindano ya kisengé sana
 
Yanga hawatoboi kwa USM Alger hilo halihitaji hata mjadala mzee baba
Mtaendelea kutusindikiza tu,

yanga haitachukua ubingwa wa ligi kuu, kiko wapi?

Yanga haifiki popote bila Fei, kiko wapi ?

yanga haitafika nusu fainali, kiko wapi?

Marumo, ukiwapiga 2 nyumbani wanazirudisha kwao, kiko wapi?
 
Mtaendelea kutusindikiza tu,

yanga haitachukua ubingwa wa ligi kuu kiko wapi?

yanga haitafika nusu fainali, kiko wapi?

Yanga hawatoboi kwa marumo, ukiwapiga 2 wanazirudisha kwao, kiko wapi?
Nasemaje hapo kwa USM Alger nyie Utopolo mnakaa
 
Mtaendelea kutusindikiza tu,

yanga haitachukua ubingwa wa ligi kuu kiko wapi?

yanga haitafika nusu fainali, kiko wapi?

Yanga hawatoboi kwa marumo, ukiwapiga 2 wanazirudisha kwao, kiko wapi?
if you can't beat them join them....


ukwel mwaka huu Utopolo mmetunyamazisha.... na kwa uwekezaji huu wa simba wa ujanja ujanja itachukua miongo kazaa kufikia mafanikio yenu.... Ningekuwa Dsm fainal ningeenda tu kiroho safi kuisupport yanga maana tushakuwa proven wrong
 
View attachment 2629381
View attachment 2629383

>> source <<

Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila stage.

Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii.

Kwenye suala la pesa za malazi, usafiri na kujikimu hakuna hilo fungu katika bajet, ila huenda itakuwa kuna maelewano kwamba team yenye changamoto kiuchumu zikifuzu hatua flani Kuna asilimia kidogo ya pesa watayopewa Ila kwenye yale malipo kamili ya hatua ambayo timu itakapoishia, Watailipa kiasi kilichobaki.
Kitu hiki hapa hayo maelezo mengine kwenye jedwali la pili (bajeti nzima iliyoandaliwa .........hayapo).

CAF Interclub Prize Money Breakdown: TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup​

CL-CC

Earlier this year, CAF President Dr Patrice Motsepe announced a new prize money structure for TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup.
The announcement saw prize monies for the two competition increase by 40% - in line with Dr Motsepe’s commitment to make African football competitions globally competitive and self-sustaining.
In the TotalEnergies CAF Champions League, the winner will get USD 4 000 000 - an increase from the USD 2 500 000. In the TotalEnergies CAF Confederation Cup, the prize money for the winner has increased from USD 1,250,000 to USD 2 000 000.
TotalEnergies CAF Champions League Prize Money
PositionPrize Money
WinnerUSD 4 000 000
Runner-upUSD 2 000 000
Semi-Finalists (2)USD 1 200 000
Quarter-Finalists (4)USD 900 000
3rd of Group (4): USD 700 000
4th of Group: (4): USD 700 000
TotalEnergies CAF Confederation Cup
PositionPrize Money
WinnerUSD 2 000 000
Runner-upUSD 1 000 000
Semi-Finalists (2)USD 750 000
Quarter-Finalists (4)USD 550 000
3rd of Group (4): USD 400 000
4th of Group: (4): USD 400 000
CAF Communication
communications@cafonline.com
  • Title sponsor
  • Kitu ni kwamba : Simba kwa kufika robo fainali champions league atapata dola za marekani 900,000.
  • Yanga kwa kufika fainali confederation cup atapata dola za marekani 1,000,000, kama
  • akichukua kombe atapata dola 2,000,000.
Mpaka hatua hii Yanga ana uhakika wa kumzidi simba dola 100,000. Akichukua kombe atamzidi simba dola 1,100,000. Hiyo inaitwa PRIZE MONEY yaani pesa ya kupongezwa kwa kufikia hatua hiyo.
MIMI NDIYO NIMEFUNGA MJADALA. Source: CAF Communication: communication@cafonline.com.
 
Kwa maneno mengine: Mshindi wa pili caf champions league ana hadhi sawa na mshindi wa lile kombe la losers!! wote wanapata dola 2,000,000.
 
HADI SASA TUNAPOONGEA SIMBA ANA ALMOST BILIONI SABA.

5 ZA SUPER CUP.
2 ZA CAFCL.
 
Moderator Active JamiiForums kichwa cha habari mmekibadilisha na ni misleading, Pesa zinalipwa mashindano yakiisha kwa kjla timu kulingana na hatua waliyoishia, hakuna malipo ya kufuzu kila hatua kama mlivyobadilisha title, pesa zitazolipwa ni za kwenye bajeti tu.

naombeni mrekebishe hicho kichwa cha habari mkirudishe original ama mkirekebisbe kikae sawa
 
Back
Top Bottom