sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo.
Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii.
Haipo kwenye source ila kwenye suala la pesa za malazi, usafiri na kujikimu hakuna hilo fungu katika bajet, ila huenda itakuwa kuna maelewano kwamba team yenye changamoto kiuchumi zikifuzu hatua fulani kuna asilimia kidogo ya pesa watayopewa Ila kwenye yale malipo kamili watailipwa kiasi kilichobaki.
CAF Online