sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Source?
Kwa hiyo Yanga wataizidi Simba US$ 100K tuCAF Interclub Prize Money Breakdown: TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup | CAFOnline.com
Earlier this year, CAF President Dr Patrice Motsepe announced a new prize money structure for TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup. The announcement saw prize monies for the two competition increase by 40% - in line with Dr Motsepe’s commitment to make...www.cafonline.com
MILIONI 230 TU ? hivi ile bonus ya milioni 20 wachezaji wenu walishalipwa kiasi kamili ?Kwa hiyo Yanga wataizidi Simba US$ 100K tu
Ambayo kwa pesa yetu ya madafu ni kama Tshs 230M tu
Shirikisho ni mashindano ya kisengé sana
Una uhakika gani kama hawatakuwa washindi?Kwa hiyo Yanga wataizidi Simba US$ 100K tu
Ambayo kwa pesa yetu ya madafu ni kama Tshs 230M tu
Shirikisho ni mashindano ya kisengé sana
Tunazungumzia mtonyo watakaoingiza baada ya mashindano ya CAF mkuuUnamaanisha ni takribani mara 12 ya zile posho za milioni 20 zilizoleta mtifuano pale msimbazi ?
Yanga hawatoboi kwa USM Alger hilo halihitaji hata mjadala mzee babaUna uhakika gani kama hawatakuwa washindi?
Save your comment.Yanga hawatoboi kwa USM Alger hilo halihitaji hata mjadala mzee baba
SavedSave your comment.
Mtaendelea kutusindikiza tu,Yanga hawatoboi kwa USM Alger hilo halihitaji hata mjadala mzee baba
Nasemaje hapo kwa USM Alger nyie Utopolo mnakaaMtaendelea kutusindikiza tu,
yanga haitachukua ubingwa wa ligi kuu kiko wapi?
yanga haitafika nusu fainali, kiko wapi?
Yanga hawatoboi kwa marumo, ukiwapiga 2 wanazirudisha kwao, kiko wapi?
if you can't beat them join them....Mtaendelea kutusindikiza tu,
yanga haitachukua ubingwa wa ligi kuu kiko wapi?
yanga haitafika nusu fainali, kiko wapi?
Yanga hawatoboi kwa marumo, ukiwapiga 2 wanazirudisha kwao, kiko wapi?
Wameshashuka daraja hao. Mnapiga bomu mortuary mnajisifu! 😅Yanga hawatoboi kwa marumo, ukiwapiga 2 wanazirudisha kwao, kiko wapi?
Kitu hiki hapa hayo maelezo mengine kwenye jedwali la pili (bajeti nzima iliyoandaliwa .........hayapo).View attachment 2629381
View attachment 2629383
>> source <<
Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila stage.
Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia hauambulii.
Kwenye suala la pesa za malazi, usafiri na kujikimu hakuna hilo fungu katika bajet, ila huenda itakuwa kuna maelewano kwamba team yenye changamoto kiuchumu zikifuzu hatua flani Kuna asilimia kidogo ya pesa watayopewa Ila kwenye yale malipo kamili ya hatua ambayo timu itakapoishia, Watailipa kiasi kilichobaki.
| Position | Prize Money |
|---|---|
| Winner | USD 4 000 000 |
| Runner-up | USD 2 000 000 |
| Semi-Finalists (2) | USD 1 200 000 |
| Quarter-Finalists (4) | USD 900 000 |
| 3rd of Group (4): | USD 700 000 |
| 4th of Group: (4): | USD 700 000 |
| Position | Prize Money |
|---|---|
| Winner | USD 2 000 000 |
| Runner-up | USD 1 000 000 |
| Semi-Finalists (2) | USD 750 000 |
| Quarter-Finalists (4) | USD 550 000 |
| 3rd of Group (4): | USD 400 000 |
| 4th of Group: (4): | USD 400 000 |