Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.Ni bajeti mbinuko, halafu bajeti mbonyeo ndio onayosaipport maendeleao kwa asilimia lubwa, sema safari hii naona imekua kinyume kidogo
Bunge aliloliingiza kwa nguvu kubwa na mabavu makubwa ndio linapitisha hiyo bajeti, hakuna objection wala mtu wa kuhoji, kuna umuhimu wa bunge kuwa na wawakilishi kutoka vyama vyote la sivyo kila litakalopitishwa basi watasema ndio kwa sababu ni watoto wa baba mmojakwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
Wizara ya fedha ndio inalipa mishahara na ruzuku ya Chadema usishangae matumizi ya kawaida kuwa makubwa hivyo bwashee!yeuwiiiii CCM wana laana aisee
Hakuna maendeleo hapo kwa bajeti Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02 Watapitisha Wabunge wa CCM kwa sababu wapo wote bungeni hakuna upinzani hapo. Bunge linaloongozwa na chama kimoja kwa asilimia 99.Bunge aliloliingiza kwa nguvu kubwa na mabavu makubwa ndio linapitisha hiyo bajeti, hakuna objection wala mtu wa kuhoji, kuna umuhimu wa bunge kuwa na wawakilishi kutoka vyama vyote la sivyo kila litakalopitishwa basi watasema ndio kwa sababu ni watoto wa baba mmoja
Lawama zote kwa Jonh
Kuhusu ruzuku ipo wazi chama kimesema mara kadhaa kuwa hakipoekei na hakitarajii kupokea ruzuku.Wizara ya fedha ndio inalipa mishahara na ruzuku ya Chadema usishangae matumizi ya kawaida kuwa makubwa hivyo bwashee!
Wewe unajuwa Bajeti ya Taifa Pesa zake zinatoka wapi? Kama sio Wizara ya Fedha? Na kama Bajeti ya Wizara ya fedha imeidhinisha pesa ndogo za Maendeleo ya nchi Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. Bajeti ya Taifa itakuwa imo humo humo ndani yake. Kwani Bajeti ya Taifa ipo chini ya Wizara ya Fedha.Hiyo ni bajeti ya Wizara ya fedha siyo bajeti ya taifa!
Leta hapa budget ya wizara ya fedha enzi zake tuone kama kuna tofauti.kwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
Fedha za maendeleo zimetawanywa kwa kila wizara!Wewe unajuwa Bajeti ya Taifa Pesa zake zinatoka wapi? Kama sio Wizara ya Fedha? Na kama Bajeti ya Wizara ya fedha imeidhinisha pesa ndogo za Maendeleo ya nchi Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. Bajeti ya Taifa itakuwa imo humo humo ndani yake. Kwani Bajeti ya Taifa ipo chini ya Wizara ya Fedha.
Hata ukimkumbuka haitasaidia kitu.kwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
Huyo marehemu alikuwa mwongo akidanganya watu anafanya miradi kwa fedha za ndani kumbe alikuwa mkopaji sana na deni lipo trl 71Hata ukimkumbuka haitasaidia kitu.
Hata kama ni bajeti ya Wizara ya fedha , hizo trllion zote hizo kuwa matumizi ya kawaida ni matumizi gani hayo? Waziri atoe mchanganuo wa matumizi hayo ya kawaida!Hiyo ni bajeti ya Wizara ya fedha siyo bajeti ya taifa!