johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mishahara na posho!Hata kama ni bajeti ya Wizara ya fedha , hizo trllion zote hizo kuwa matumizi ya kawaida ni matumizi gani hayo? Waziri atoe mchanganuo wa matumizi hayo ya kawaida!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mishahara na posho!Hata kama ni bajeti ya Wizara ya fedha , hizo trllion zote hizo kuwa matumizi ya kawaida ni matumizi gani hayo? Waziri atoe mchanganuo wa matumizi hayo ya kawaida!
... TZS 1.02 tr/= equvalent to USD 500 million! Hiyo ni budget ya baadhi ya universities ndogo ndogo kule Marekani!kwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
Mishahara na posho!
Umeona ehh........Fedha za Maendeleo ya Tanzania ni sawa na Bajeti ya chuo Kikuu kimoja nchini Marekani. Kweli nchi yetu itakuwa na Maendeleo tuanyoyataka? Mungu amuweke Mahali pema Hayati Dr Magufuli amin.... TZS 1.02 tr/= equvalent to USD 500 million! Hiyo ni budget ya baadhi ya universities ndogo ndogo kule Marekani!
Hapo wanajaribu kuingiza fedha mifukoni kwa watu. Achana na maendeleo kama mpuuzi Tundu Lissu alivyotuelezaView attachment 1812485
BAJETI ina matumizi mengi ya kawaida kuliko Matumizi ya maendeleo ya nchi?
Hivyo kweli tutaendelea...
Waziri akueleze kwani hufuatilii bajeti za wizara mbali mbali?View attachment 1812485
BAJETI ina matumizi mengi ya kawaida kuliko Matumizi ya maendeleo ya nchi?
Hivyo kweli tutaendelea..
Usiwe pimbi wewe,bajeti miaka yote ndivyo ilivyokuwa lazima recurrent iwe kubwakwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
Hiyo miradi ya maendeleo ni ya wizara ya fedha lakini hata alhamic utakuta bajeti ya utawala kubwa kuliko ya maendeleoHakuna maendeleo hapo kwa bajeti Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02 Watapitisha Wabunge wa CCM kwa sababu wapo wote bungeni hakuna upinzani hapo. Bunge linaloongozwa na chama kimoja kwa asilimia 99.
Hujui kitu wewe pimbi Acha ubishi? Zinaitwa bajeti za kisekta au wizara..Tafuta Bajeti yoyote ya wizara utakuta hali hiyo kasoro bajeti ya Wizara ya ujenziWewe unajuwa Bajeti ya Taifa Pesa zake zinatoka wapi? Kama sio Wizara ya Fedha? Na kama Bajeti ya Wizara ya fedha imeidhinisha pesa ndogo za Maendeleo ya nchi Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. Bajeti ya Taifa itakuwa imo humo humo ndani yake. Kwani Bajeti ya Taifa ipo chini ya Wizara ya Fedha.
In economics point of view recurrent expenditure ni kubwa kuliko development expenditure ndo ikogi hivyo swala sio ccm au magufuliBunge aliloliingiza kwa nguvu kubwa na mabavu makubwa ndio linapitisha hiyo bajeti, hakuna objection wala mtu wa kuhoji, kuna umuhimu wa bunge kuwa na wawakilishi kutoka vyama vyote la sivyo kila litakalopitishwa basi watasema ndio kwa sababu ni watoto wa baba mmoja
Lawama zote kwa Jonh
Kwani kukopa ni tatizo?Huyo marehemu alikuwa mwongo akidanganya watu anafanya miradi kwa fedha za ndani kumbe alikuwa mkopaji sana na deni lipo trl 71
Kabla ya kukurupuka ungeingia tovuti ya bunge au wizara ya fedha utaikuta hotuba nzima na mchanganuo wakeHata kama ni bajeti ya Wizara ya fedha , hizo trllion zote hizo kuwa matumizi ya kawaida ni matumizi gani hayo? Waziri atoe mchanganuo wa matumizi hayo ya kawaida!
Pole Sana mkuu kwa maumivuPesa nyingi kwa mambo ya kipuuzi na ndio unakuta kulipana posho ili kupanga mpango kazi na madudu ya aina hiyo. Na hilo fungu la maendeleo ni ununuzi wa magari na viyoyozi!
Asante kwa elimuIn economics point of view recurrent expenditure ni kubwa kuliko development expenditure ndo ikogi hivyo swala sio ccm au magufuli
Wewe pimbi Kati ya Magu wa miaka 5 na Kikwete wa miaka 10 nani kakopa pesa nyingi? Usiwe mkiruukaji muwe mnasoma kabla ya kuharisha.Inawezekana bajeti ya maendeleo ikategemea zaidi misaada ya wahisani kama ilivyokuwa huko nyuma!. Tunarudi enzi za kutembeza bakuli au kukopa zaidi!!...... Awamu ya nne kuna mkuu mmoja aliwahi kuwatonya watendaji wake kuwa huko Duniani kuna pesa nyingi sana hazina kazi, ili kuzipata unatakiwa ujue namna ya kuomba!. Tunaenda mbele na kinyumenyume kama kaa. 😳[emoji848]
Yametolewa kwenye kitabu ukienda wizarani au nadhani kwenye wavuti ya bunge utayaona ila pia tukubali jamani budget ni somo pana kimsingi budget zote ziko hivyo hadi ya ofisi ya waziri mkuu na kifupi serikali inajibu kilio cha wananchiHata kama ni bajeti ya Wizara ya fedha , hizo trllion zote hizo kuwa matumizi ya kawaida ni matumizi gani hayo? Waziri atoe mchanganuo wa matumizi hayo ya kawaida!