Ukishajua utafanya Nini sasa, hujui lolote kuhusu uchumi unavyoendeshwa so kaa kimya,waza kesho watoto wako watakula Nini maana hili swala lipo juu sana kwa uwezo wako finyu wa kufikiria maana hata ukipewa mchanganuo ni matumaini yangu utatoka patupuTujue kwanza hayo mambo ya kawaida ni yapi
Unajua lakini hujui, rahisi iko hivi, nchi inavyokuwa na mapato kidogo ndivyo uwiano wa matumizi ya kawaida yatakuwa. makubwa kuliko ya maendeleo. sababu matumizi ya kawaida ndani yake kuna matumizi yasiypbadilka(fixed)kuendana wingi wa Mapato.mfano kwa halmashauri Tanzania bara iwe kubwa au ndogo ni ilipe mshahara ikiwemo mishahara ya wakurugenzi na wakuu wa idara ambao mishahara na idadi inafanana bila ya kujali ukubwa au udogo.hivyo hivyo kwa vikao vya madiwani, umeme na kadhalika.kwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
Jifunze kwanza ustaarabu katika kuwasiliana na watu, unaweza ukaeleweka vizuri tu bila hata kutumia lugha za mtaani.🥸Wewe pimbi Kati ya Magu wa miaka 5 na Kikwete wa miaka 10 nani kakopa pesa nyingi? Usiwe mkiruukaji muwe mnasoma kabla ya kuharisha.
Magu kaacha deni la Taifa 71 trillion kutoka 35 tirion
Wewe Daudi tulia, tunarudi tulikotoka, Kikwete OYEEEEEE, mama OYEEEEEE. Tuigawane nchi yetu, kanda pendwa ilifaidi sana miaka mitano iliyopita. Miaka hii mitano tule wote. .yeuwiiiii CCM wana laana aisee
Bajeti ya samia na ya mwendakuzimu haina tofauti acheni propaganda nyie wazee wa ligasi.kwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
kwa Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. kutakuwa na Maendeleo kweli? Tutamkumbuka Mzee Wetu Hayati Magu Mungu amuweke mahali pema amin.
Wwe Mungu amekuupa macho möawili huoni, amekupa masikio mawili husikii sasa nitakwambia kitu gani mpaka uniamini? Hilo deni la taifa ni 39t+ ulitaka alimalize kwa muda miaka 5? Inawekana kweli? Hawakuwea kulipa utawala uliopita hilo la deni la taifa ni 39t+ ataweza kulipa Marehemu Magufuli kwa muda wa miaka 5? Kama huna macho ya kuona aliyoyafanya Hayati Dr.Magufuli nyamaza kimya.Utamkumbuka kwa lipi, kaingia madarakani kakuta deni la taifa ni 39t+, sasa deni limepaa mpaka 71t chini ya utawala wake, na hakuna maendeleo yanayoendana na hiyo hela. Au ni mmoja ya wale aliofanikiwa kuwabrainwash kwa propaganda zake?
Mzee tuwekee bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka wowote ktk utawala wa mwendakuzimu tukompee na kukontrast hapa jamvini.Wewe unajuwa Bajeti ya Taifa Pesa zake zinatoka wapi? Kama sio Wizara ya Fedha? Na kama Bajeti ya Wizara ya fedha imeidhinisha pesa ndogo za Maendeleo ya nchi Pesa ya Shilingi Trilioni 1.02. Bajeti ya Taifa itakuwa imo humo humo ndani yake. Kwani Bajeti ya Taifa ipo chini ya Wizara ya Fedha.
Dhambi ya Uongo anayoHuyo marehemu alikuwa mwongo akidanganya watu anafanya miradi kwa fedha za ndani kumbe alikuwa mkopaji sana na deni lipo trl 71
No. Muuliza swali anahoja nzuri tu sema wewe umekataa kujua hayo matumizi mengine ni yapi? Hv nikuulize swali, unawatumishi kadhaa wa wizara wanadai 60% ya bajeti mzima ya wizara. Je utalipa kwanza mishahara au utapotezea then uwaze hayo maendeleo inayoyawaza?. Kunamatumizi mengineyo huwezi kuyakwepa ili ukafanye maendeleo mengineUkishajua utafanya Nini sasa, hujui lolote kuhusu uchumi unavyoendeshwa so kaa kimya,waza kesho watoto wako watakula Nini maana hili swala lipo juu sana kwa uwezo wako finyu wa kufikiria maana hata ukipewa mchanganuo ni matumaini yangu utatoka patupu
sielewi watu wengine kabisa, mtu hapa anamusifu dikteta magufuri aliyeiba kura mchana kweupe bunge ni 100% ccm, alafu mtu hapa anasema apumuzike pema, ndio watz wengine watabaki masikini ajabu,huyu hawezi connect the dots ajue where the problem is,and how we got here.huyu mwigulu ni ile wizara yake huko boat walijilipa mamia ya mamilioni hata wakati wa siku isio ya kazi, safari ndefu sana kwa bongoBunge aliloliingiza kwa nguvu kubwa na mabavu makubwa ndio linapitisha hiyo bajeti, hakuna objection wala mtu wa kuhoji, kuna umuhimu wa bunge kuwa na wawakilishi kutoka vyama vyote la sivyo kila litakalopitishwa basi watasema ndio kwa sababu ni watoto wa baba mmoja
Lawama zote kwa Jonh