Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara,
Punde baada ya kumaliza chuo
,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile.
  • Natembea barabarani kwa kuvimba
  • Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani.
  • Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua bei.
IIlikuwaje kwa mara ya kwanza uliposhika hela yako kubwa.
 
E bwanaee eeh siku nashika 13m cash mirerani we niliona mingi ila kuna jamaa alijaa haswa tukaenda mahala ebwanae kila huduma tuliona hazitoshi haja zetu
 
Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara,
Punde baada ya kumaliza chuo
,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile.
  • Natembea barabarani kwa kuvimba
  • Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani.
  • Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua bei.
IIlikuwaje kwa mara ya kwanza uliposhika hela yako kubwa.
Milion 20 nilipata kwenye ule mgao wa Escrow account nikiwa usingizini, na sikupata hisia zozote za tofauti.
 
Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara,
Punde baada ya kumaliza chuo
,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile.
  • Natembea barabarani kwa kuvimba
  • Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani.
  • Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua bei.
IIlikuwaje kwa mara ya kwanza uliposhika hela yako kubwa.
Buku jero
 
Back
Top Bottom