Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara,
Punde baada ya kumaliza chuo
,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile.
  • Natembea barabarani kwa kuvimba
  • Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani.
  • Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua bei.
IIlikuwaje kwa mara ya kwanza uliposhika hela yako kubwa.
Million 5 eeeeh sikulala om kua ntavamiwa.
 
Hela yangu ya kwanza kubwa ni 80000/= ilikuwa ni posho kule JKT๐Ÿ’ฐ nilifurahi. Kwakweli familia nyingi za kitanzania hasa sisi tuliotoka kaya za kawaida labda ushike ya ndugu ila kama ya mtu binafsi tofauti na mshahara bado sana. Ndio maana tunajipambania hadi kwenye majukwaa ya mashindano kujitafutia riziki kupitia mitandao iliyochangizwa na dunia ya kidijitali. Kama hutojali ndugu yangu nisaidie kunipigia kura kwa kusoma chapisho langu kwa kugusa hapa chini๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
 
Chapisho la hisia na maono kwa watanzaniaโ˜บ๏ธ๐Ÿ™๐Ÿพ
 
Mkopo wa hazina ule million 10 ila Unapewa 9.6 laki nne eti ndo tiba.. Nilijiita mfumo nilikula maisha pia nikafanya vya kufanya. Poleni... Nikaja Tena kupata kazi ya million 6.. RAHA HAHAHAHAHAHA
Huo mkopp uliupataje pataje...Nauwinda sana
 
Back
Top Bottom