Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

Million 5 eeeeh sikulala om kua ntavamiwa.
 
Hela yangu ya kwanza kubwa ni 80000/= ilikuwa ni posho kule JKTπŸ’° nilifurahi. Kwakweli familia nyingi za kitanzania hasa sisi tuliotoka kaya za kawaida labda ushike ya ndugu ila kama ya mtu binafsi tofauti na mshahara bado sana. Ndio maana tunajipambania hadi kwenye majukwaa ya mashindano kujitafutia riziki kupitia mitandao iliyochangizwa na dunia ya kidijitali. Kama hutojali ndugu yangu nisaidie kunipigia kura kwa kusoma chapisho langu kwa kugusa hapa chiniπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
 
Chapisho la hisia na maono kwa watanzaniaβ˜ΊοΈπŸ™πŸΎ
 
Mkopo wa hazina ule million 10 ila Unapewa 9.6 laki nne eti ndo tiba.. Nilijiita mfumo nilikula maisha pia nikafanya vya kufanya. Poleni... Nikaja Tena kupata kazi ya million 6.. RAHA HAHAHAHAHAHA
Huo mkopp uliupataje pataje...Nauwinda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…