City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Weka data mkuuMtanzania wa chini kwa mwezi anatumia elf 20 kununua vocha so kutoa elf 2 kuchangia afya ili wote wapate matibabu ni jambo la heri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka data mkuuMtanzania wa chini kwa mwezi anatumia elf 20 kununua vocha so kutoa elf 2 kuchangia afya ili wote wapate matibabu ni jambo la heri
Ipo siku Tanzania haitakalika kama Haiti,CCM washenzi sana,wanadhani Watanzania ni wale wale siku zoteWakuu,
Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa!
Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu?
Hii siyo ya kukalia kimya!
Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu ndio kwanza wapo mstari wa mbele kuturudisha nyuma!
Mbunge unajua hali za wananchi wako, gharama za maisha zinapanda kila kukicha, baada ya kutafuta njia ya kupunguza mzigo unataka umuongezee tena kodi?
Ndio mmeona hii ndio itakuwa njia rahisi ya kuwafanya watu wasipate taarifa, mpite bila kupingwa na kuendesha serikali kama vile mnaendesha ng'ombe?
Wale wa kukaa kimya na kuona matatizo yanawagusa watu fulani, hii inaenda kukugusa hata wewe! Piga kelele, embu tuache kuwa wajinga na kukubali upuuzi kama huu kuendelea kufanyika!
Raia wa Gairo, Mbunge wenu Ahmed Shabiby kapendekeza takataka huko bungeni, endeleeni kuwa chawa tuendelee kusaga meno mpaka kiama!
Kwa nafasi yako piga kelele, hata wewe unayetoa povu hapa unafanya kwa nafasi yako, usikae kimya wakati una uwezo wa kusema, kama Rais huwa anapita amini na wale wengine wanapita kuchungulia kama mmekubali au lah, huwezi kwenda kuandamana piga spana JF dawa iwaingie huko huko walipo!
====
Pia soma Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu
Shetani mkubwa wewe, Serikali huwa inamtibu nani akiugua?Simu zenyewe mnatumia kutongozea na kutazamia ngono wazo la mbunge ni zuri usipoumwa wewe ndugu yako ataumwa
Elewa maana ya bima ya afyaShetani mkubwa wewe, Serikali huwa inamtibu nani akiugua?
Utaiweka na mkono au?Watu watakuwa wanaweka pesa ya kubipu tu.
Watakuwa wanaweka Jero.Utaiweka na mkono au?