Hata zile milioni 500 alizotoa SSH kwani kuna mbunge alifanyia kitu. Wako kimyaahhh.Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?
Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache.
Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba yake ya kuishi.
CCM ni janga la kitaifa.
Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app