Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020 hadi 2022

Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?

Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache.
Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba yake ya kuishi.
CCM ni janga la kitaifa.
Hata zile milioni 500 alizotoa SSH kwani kuna mbunge alifanyia kitu. Wako kimyaahhh.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?

Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache.

Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba yake ya kuishi.

CCM ni janga la kitaifa.
 
Huyo Mbunge wakati wa ziara ya JPM jimboni kwake alimuombea JPM apatwe na CORONA!
 
Ndugu Peno hagesewa hii kazi ya ibilisi uliyopewa kufanya wala haisaidii lolote, wananchi wa hai wanaona maendeleo live bila chenga, tena ni maendeleo ya miradi inayozidi hizo fedha za mfuko wa jimbo.

Hii kazi waliokupa wamekudanganya, Saashisha Mafuwe ni mtu mwadilifu, hajawahi kugusa hata senti mia ya walalahio.
Pili, nikuambie hakuna mwaka fedha za mfuko wa jimbo zinatumika sahihi kama kipindi hiki, punguza makasiriko.
 
Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022...

Inaitwa mguu mmoja ndani mguu mwingine nje. Huyo yuko mkao wa kutimua sponsor hayupo.
 
Ndugu Peno hagesewa hii kazi ya ibilisi uliyopewa kufanya wala haisaidii lolote, wananchi wa hai wanaona maendeleo live bila chenga, tena ni maendeleo ya miradi inayozidi hizo fedha za mfuko wa jimbo.

Hii kazi waliokupa wamekudanganya, Saashisha Mafuwe ni mtu mwadilifu, hajawahi kugusa hata senti mia ya walalahio.
Pili, nikuambie hakuna mwaka fedha za mfuko wa jimbo zinatumika sahihi kama kipindi hiki, punguza makasiriko.
 
Ndugu Peno hagesewa hii kazi ya ibilisi uliyopewa kufanya wala haisaidii lolote, wananchi wa hai wanaona maendeleo live bila chenga, tena ni maendeleo ya miradi inayozidi hizo fedha za mfuko wa jimbo.

Hii kazi waliokupa wamekudanganya, Saashisha Mafuwe ni mtu mwadilifu, hajawahi kugusa hata senti mia ya walalahio.
Pili, nikuambie hakuna mwaka fedha za mfuko wa jimbo zinatumika sahihi kama kipindi hiki, punguza makasiriko.
Una account ngapi Mh.. eleza fedha hizo zimetekeleza miradi ipi na ipi tangu uingie madarakani?
 
Unazitaka hela za mfuko wa jimbo ni zako?
 
Back
Top Bottom