Hata zile milioni 500 alizotoa SSH kwani kuna mbunge alifanyia kitu. Wako kimyaahhh.Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?
Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache.
Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba yake ya kuishi.
CCM ni janga la kitaifa.
Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?
Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache.
Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba yake ya kuishi.
CCM ni janga la kitaifa.
Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022...
Ndugu Peno hagesewa hii kazi ya ibilisi uliyopewa kufanya wala haisaidii lolote, wananchi wa hai wanaona maendeleo live bila chenga, tena ni maendeleo ya miradi inayozidi hizo fedha za mfuko wa jimbo.
Hii kazi waliokupa wamekudanganya, Saashisha Mafuwe ni mtu mwadilifu, hajawahi kugusa hata senti mia ya walalahio.
Pili, nikuambie hakuna mwaka fedha za mfuko wa jimbo zinatumika sahihi kama kipindi hiki, punguza makasiriko.
Una account ngapi Mh.. eleza fedha hizo zimetekeleza miradi ipi na ipi tangu uingie madarakani?Ndugu Peno hagesewa hii kazi ya ibilisi uliyopewa kufanya wala haisaidii lolote, wananchi wa hai wanaona maendeleo live bila chenga, tena ni maendeleo ya miradi inayozidi hizo fedha za mfuko wa jimbo.
Hii kazi waliokupa wamekudanganya, Saashisha Mafuwe ni mtu mwadilifu, hajawahi kugusa hata senti mia ya walalahio.
Pili, nikuambie hakuna mwaka fedha za mfuko wa jimbo zinatumika sahihi kama kipindi hiki, punguza makasiriko.
Unazitaka hela za mfuko wa jimbo ni zako?Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa Kilimanjaro, Yasin Lema anaharibu uchaguzi wa CCM Jimbo la Hai
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya...www.jamiiforums.com
Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba yake ya kuishi.Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?