Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana.
Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela zimeletwa hapa kwangu na nimeambiwa nizilinde ila sijui ni za nini japo zimetoka nyumbani". Samia anzia hapo.
Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela zimeletwa hapa kwangu na nimeambiwa nizilinde ila sijui ni za nini japo zimetoka nyumbani". Samia anzia hapo.