BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Mama ameongezewa mke mwenza lini, acha uzushi. Kwani Jiwe wakati anamsema Kikwete, wakati naye alikuwa waziri, kwanini asingeachia huo uwaziri. Acha unafikini kichaa pekee na mwendawazimu anaweza kumuamini mtu anaehurusu mbuzi wale kwa urefu wa kamba yake!
Si alikuwa msaidizi wake?
Iwapo alijua maovu yote hayo alishindwa kujiondoa kwenye nafasi yake ili kuilinda haiba na heshima yake?
Kuna mtu alimshikia bastora kichwani kumlazimisha kuwa kwenye hiyo serikali ya wizi?
Angekuwa na busara angetulia tu coz kuendelea kusema ni kuendelea kujivua nguo mwenyewe.
Kipimo cha busara kwake.
hata mume wake wala asiongeza wake wengine!
Kwa sasa anafurahisha hicho kikundi ila kweli it’s a matter of time!