Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Mshaurini kwanza aache kuwa mwanaharakati wa dola yake yeye mwenyewe. Haitamsaidia kitu. Wanaharakati wapo, wabunge wapo, NGO's zipo, watoa misaada wapo, tume ya haki za binadamu ipo.Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana. Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela zimeletwa hapa kwangu na nimeambiwa nizilinde ila sijui ni za nini japo zimetoka nyumbani". Samia anzia hapo.
Fedha za "Kiri-Kosa Tukuachie" hazihitaji matokeo ya Time. Zipo tu Exim Bank of China. Au tuweke na akaunti nambaaa??? Aah.Subiri tume itakuja na majibu muda ukifika , ukweli huwa unakuja taratibu sana
Weka hiyo account number, kama mbwai na iwe mbwai tu kwani shing' ngapi.Fedha za "Kiri-Kosa Tukuachie" hazihitaji matokeo ya Time. Zipo tu Exim Bank of China. Au tuweke na akaunti nambaaa??? Aah.
Mwingine anayeweza kusaidia ni Doto JamesNakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana. Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela zimeletwa hapa kwangu na nimeambiwa nizilinde ila sijui ni za nini japo zimetoka nyumbani". Samia anzia hapo.
Dola 27.4 Bilioni.Weka hiyo account number, kama mbwai na iwe mbwai tu kwani shing' ngapi.
Fedha za ununuzi wa ndege Balozi Kidata alivaa ujasiri kumuulizia Jiwe, Jiwe alimrudisha nyumbani mbio mbio, akamnyanganya ubalozi, na akafikishiwa safe house.Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana. Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela zimeletwa hapa kwangu na nimeambiwa nizilinde ila sijui ni za nini japo zimetoka nyumbani". Samia anzia hapo.
Samia ana roho ngumu sana kuendelea kumwangalia Doto James. Ilahali alimwambia kutaka kujua hesabu za kutoka date 17/3/2020 Hadi anaapishwa. Doto abanwe mapum***Mwingine anayeweza kusaidia ni Doto James
Yesu wangu mwana wa Daudi unaniua Kwa shinikizo la damu halafu ya chini. Misri???!!!Fedha za ununuzi wa ndege Balozi Kidata alivaa ujasiri kumuulizia Jiwe, Jiwe alimrudisha nyumbani mbio mbio, akamnyanganya ubalozi, na akafikishiwa safe house.
Tuna maswali mengi kuhusu kick back ya fedha za ununuzi wa ndege Canada,
Pia sijui kama mama alivyoenda Misri alifanikiwa kumshawishi Abdel Fatah Al Sisi arejeshe mabilioni ambayo Jiwe alikuwa akifichia huko kupitia kampuni zake za hiyo ya Misri katika mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere .
Bado uturuki na kick back ya ujenzi wa SGR
Niweke wazi, Samia alikuwepo utawala wa Jiwe lakini hakuwahi kushiriki uamuzi wowote wa hovyo kama hili la "Kiri-Kosa Tukuachie". Mara mbili ametaka kuachia ngazi kuepuka lawama za kifedhuli lakini wazee wa chama na mfumo wakiongozaa na Msoga na Msomali walimsihi "atulie" taabu yote itaisha. Hatimaye "taabu" ikaisha.Utawala uliofitinika dhidi yake wenyewe kamwe hauwezi kusimama....
Mama alikuwa ndiye second in command wa wakati ule na system anaijua vyema. Nadhani yupo katika kuangalia system itakavyombeba 2025 na ni kama vile tayari yuko kwenye campaign mode akijaribu sana kufurahisha kikundi fulani ambacho anaaamini kuwa ndicho kitambakiza madarakani 2025.
Kama kweli kuna pesa zimefichwa China napata ugumu sana kuamini kuwa yeye hakujua. I think she is already limited in her capabilities to deal with this issue maana akizembea hata yeye anaweza kujikuta anachovya kidole chake kwenye matope na kuishia kuchafuka.
Wakati utasema!
Duh!!!?Utawala uliofitinika dhidi yake wenyewe kamwe hauwezi kusimama....
Mama alikuwa ndiye second in command wa wakati ule na system anaijua vyema. Nadhani yupo katika kuangalia system itakavyombeba 2025 na ni kama vile tayari yuko kwenye campaign mode akijaribu sana kufurahisha kikundi fulani ambacho anaaamini kuwa ndicho kitambakiza madarakani 2025.
Kama kweli kuna pesa zimefichwa China napata ugumu sana kuamini kuwa yeye hakujua. I think she is already limited in her capabilities to deal with this issue maana akizembea hata yeye anaweza kujikuta anachovya kidole chake kwenye matope na kuishia kuchafuka.
Wakati utasema!
Utawala uliofitinika dhidi yake wenyewe kamwe hauwezi kusimama....
Mama alikuwa ndiye second in command wa wakati ule na system anaijua vyema. Nadhani yupo katika kuangalia system itakavyombeba 2025 na ni kama vile tayari yuko kwenye campaign mode akijaribu sana kufurahisha kikundi fulani ambacho anaaamini kuwa ndicho kitambakiza madarakani 2025.
Kama kweli kuna pesa zimefichwa China napata ugumu sana kuamini kuwa yeye hakujua. I think she is already limited in her capabilities to deal with this issue maana akizembea hata yeye anaweza kujikuta anachovya kidole chake kwenye matope na kuishia kuchafuka.
Wakati utasema!
ANAYETAKIWA KUULIZWA NA BISWALO NA DOTTO hawa ndio Wahusika WAKUUNakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana. Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela zimeletwa hapa kwangu na nimeambiwa nizilinde ila sijui ni za nini japo zimetoka nyumbani". Samia anzia hapo.
MhhNiweke wazi, Samia alikuwepo utawala wa Jiwe lakini hakuwahi kushiriki uamuzi wowote wa hovyo kama hili la "Kiri-Kosa Tukuachie". Mara mbili ametaka kuachia ngazi kuepuka lawama za kifedhuli lakini wazee wa chama na mfumo wakiongozaa na Msoga na Msomali walimsihi "atulie" taabu yote itaisha. Hatimaye "taabu" ikaisha.