lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Propaganda zimefika mwisho.Hii ni fedhea ya Hali ya juu Sana kwa kwa wale walioamini USA Ni super power[emoji28]
Hakuna marefu yasiyo na ncha,
Mbio za sakafuni huishia ukingoni,
Kumbe Urusi masikini inategemewa namna hii na matajiri Hadi supa pawa?
Daladala USA kwenda angani -urusi.
Uranium ya umeme wa USA - Urusi.
Injini za roket za USA - Urusi.
Mbolea za mashamba ya USA - Urusi.
Mafuta kwa USA - Urusi.
Gesi ulaya - Urusi.
Da Kuna mtu atakuambia Urusi njaa tuu,Urusi msikini,Urusi hamna kitu.
Watu walilishwa propaganda kuliko chakula.