Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

Wote wanoizananga Marekani na Ulaya wanazipenda sana kiuhalisia, wanapenda sana baidhaa na utamaduni wa magharibi kwa maana ya Muziki, Michezo, Vitabu, Vyakula, Simu, Magari, movies, mavazi n.k!
.. this is great brother, we sail in the same boat.[emoji1666]sema umekaa kimantoni manton kwenye dp na hiyo username ndo maana nikapata wasiwasi.
 
Kiburi cha Marekani kwishney!! Amelipa kwa ruble maana dola ni makaratasi tu mbele ya urusi!!
 
Propaganda zimefika mwisho.
Hakuna marefu yasiyo na ncha,
Mbio za sakafuni huishia ukingoni,
Kumbe Urusi masikini inategemewa namna hii na matajiri Hadi supa pawa?

Daladala USA kwenda angani -urusi.
Uranium ya umeme wa USA - Urusi.
Injini za roket za USA - Urusi.
Mbolea za mashamba ya USA - Urusi.
Mafuta kwa USA - Urusi.
Gesi ulaya - Urusi.
Da Kuna mtu atakuambia Urusi njaa tuu,Urusi msikini,Urusi hamna kitu.
Watu walilishwa propaganda kuliko chakula.
Hizi propaganda za Urusi njaa tuu,Urusi msikini,Urusi hamna kitu zimeshika kasi sana baada ya kuporomoka USSR.
Kabla ya hapo walikuwa wanaikubali, walikuwa wanaitia kasoro ya kutokuza uchumi wake na badala yake ku concentrate zaidi kwenye uvumbuzi wa silaha kali.
 
Back
Top Bottom