Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

Yaani wabongo, dah! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† kwamba tuko busy tunacheka Mmarekani mmoja kupewa lifti, ilhali Warusi wenyewe wapo kimya. Na kwahiyo tayari tunaamini kwasababu Mmarekani anadandia lifti za Urusi basi sasa Mrusi ndio Supa pawa wa dunia au sio? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Well, tuendelee kumuombea Mrusi - huenda kuna muujiza utatokea ambao utafanya ndoto zake za miaka mingi (Za kumpindua US) ziweze kutimia.

Mwenye nguvu muite pawa, usione aibu. Hii ni Orodha ya nchi wababe wa dunia ya mwaka huu 2022.
 
Space exploration ni moja ya eneo muhimu sana katika future ya binadamu. Sio mrusi, mpare wala muisrael, bali binadamu. Nawapongeza USA kwa kutotanguliza kiburi na kujishusha ili binadamu arudi duniani salama.
 
Endelea kujitoa ufahamu Mkuu...

Usiteseke bure, Marekani hajawahi kujitegemea hata mara 1 kwenda anga za juu mwenyewe bila kupewa lifti na Urusi...Mara zote amekuwa akipewa lifti na Mrusi nakuwekea miaka kadhaa hapa 2010 hadi 2020...ya 2022 nishakuwekea.
View attachment 2260406View attachment 2260407View attachment 2260408
View attachment 2260410
Sorry,,,Kuna kaskendo kuwa Urusi anauwezo wa kufunga/kuzima anga Zima(mawasiliano) duniani na amezichezea bank kadhaa pesa badala ya kwenda sehemu husika anazipeleka anakojua yeye,,,,unakopita huko ukizipata zidondoshe hapa!
 
Miaka yote Marekani anatumia vyombo vya Urusi kwenda anga za mbali hiyo haina ubishi na mpaka kipindi cha mwanzo wa Vita ya Urusi na UKRAINE wamarekani na warusi walisafiri pamoja kwenda anga za mbali kwa chombo cha Urusi
Siyo tu hivyo hadi Injini zote za vyombo vya kwenda anga za mbali vya usa [emoji631] vinanunuliwa kutoka Urusi, marekani iliacha kuunda injini baada ya kuwa zinalipuka marakwa mara tofauti na zamrusi hivyo kutegemea za kuuziwa na russia
 
Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi.

Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti Marekani yupo mbele zaidi ktk sayansi na teknolojia kuliko Urusi, kumbe hata wanasayansi wake (Marekani) ili waende anga za mbali wanategemea wapewe lifti ktk vyombo vya usafiri wa anga vya Urusi!
---

The building of the Russia's state space corporation Roscosmos, July 20, 2018. /CFP

The building of the Russia's state space corporation Roscosmos, July 20, 2018. /CFP

Russian Space Agency official said U.S. has already paid in ruble for its astronaut's flight on Russian spacecraft in an interview on Saturday, according to China Media Group.

Dmitry Rogozin, head of the Russia's state space corporation Roscosmos, said the U.S. has paid the full amount of the cost of the flight to the International Space Station for the crewmate Mark Vande Hei on the Russia "Soyuz" spacecraft in an interview with the Russia 24 news channel.

NASA has chosen the Axiom Space Corporation as a middle man to purchase a seat for the American astronaut under pressure from Congress.

NASA astronaut Mark Vande Hei returned to Earth with two Russian cosmonauts aboard Russia's Soyuz MS-19 Spacecraft in the end of March.

The payment was a month later than planned, according to Rogozin. He said Axiom Space is the direct payer who made the payment of 2 billion rubles, not NASA.

In March, Rogozin said Roscosmos will switch to ruble-denominated contracts with other countries, according to TASS state news agency.

The move came after Russian President Vladimir Putin said Russia will seek payment in rubles for gas sales from "unfriendly" countries as part of countermeasures against Western countries freezing Russia's overseas assets.
Fedhea ya nini?...unaelewa nini wewe mbantu kaa chini kula ugali wako ukalale manati tu hujawahi kushika nyau
 
Space exploration ni moja ya eneo muhimu sana katika future ya binadamu. Sio mrusi, mpare wala muisrael, bali binadamu. Nawapongeza USA kwa kutotanguliza kiburi na kujishusha ili binadamu arudi duniani salama.
Naunga mkono hoja: kwenye suala la anga za juu mpaka sasa hakuna taifa linaloweza kujitegemea kwa 100%, na kwa kujua hilo ndio maana wanaendeleza ushirikiano kwenye eneo hilo licha ya tofauti zao kwenye maeneo mengine. Ingekuwa kama tunavyodhani, basi Urusi wangeweza kukataa kushirikiana na Marekani, lakini tangu mwaka 1975 mpaka leo kila upande unamuhitaji mwenzake.
 
"sisi wamarekani wa buza kwa mpalange hatujakubalina na suala hili" limesikika jinga moja likitoa kauli hii baada ya kushiba wali maharage
Ujui kitu usa [emoji631] anategemea injini za mrusi kwenye Maroketi yake ya kwenga anga za mbali hii ilikuwa hivyo baada ya mara kwa mara maroketi ya kimarekani kuwa yanalipuka na hata kuua wana anga baada ya kurusha na hivyo injini za roketi za mrusi silikuwa bora kisayansi hapo ndipo marekani akawa ana nunua hizo injini kutoka urusi ....kama miezi 8 hivi kulikuwa na kelele marekani kuwa kwanini wasijitaidi kuunda injini zao wenyewe zilizo madhubuti kama za urussi
 
Propaganda zimefika mwisho.
Hakuna marefu yasiyo na ncha,
Mbio za sakafuni huishia ukingoni,
Kumbe Urusi masikini inategemewa namna hii na matajiri Hadi supa pawa?

Daladala USA kwenda angani -urusi.
Uranium ya umeme wa USA - Urusi.
Injini za roket za USA - Urusi.
Mbolea za mashamba ya USA - Urusi.
Mafuta kwa USA - Urusi.
Gesi ulaya - Urusi.
Da Kuna mtu atakuambia Urusi njaa tuu,Urusi msikini,Urusi hamna kitu.
Watu walilishwa propaganda kuliko chakula.
USA ni mbwembwe hata vita adiapate washirika peke yake hawezi labda mataifa ya AFRICA.
 
Ufaulu tz umeongezeka,. tutajengaga za kwetu, TU.
Hivi hamna TO aliyegundua jambo la kusaidia kampuni letu hili(tz)
 
kuna kitu nimejifunza kuhusu siasa za kimataifa.....!

Kwangu mimi nitaazimia kutumia staili ya Urusi ktk mambo yangu......

wacha watu wakubagaze, wacha watu wajitape...... uwezo wako na vile ulivyonavyo BAKI KIMYA NA FUMBA MDOMO...... WATAONA WENYEWE......

Wacha watengeneze data feki za wao kuongoza ktk mambo mbalimbali na kuonyesha huwezi chochote..... LAKINI UWEZO ULIO NAO NI WA KUJIVUNIA
 
mnakosea. Tafuteni taarifa kwenye Source zinazoaminika siyo Gossip. Soma hapa.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Unatulazimisha? Vumilia tu ndo ukweli huo unatabia ya kuuma ndani kwa ndani.๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Haya ni mambo ya utaalamu zaidi inawezekana ,tukachangia kiushabiki Bila Kujua nini kimepelekea hadi us imediriki kumtumia Rasia katika hii mision labda logistics zilizo tumika kutengenezea hicho chombo ni kutokana Rasia na kwa usalama zaidi wakaamua kumtumia yeye Rasia ili kuhakikisha usalama wa raia wake .Hawa Hawa wanaanga wana share sana share my
mambo mengi
 
Wangemuacha tu huko Juu apigwe na Baridi mpake agande kama ice cream
 
Back
Top Bottom