lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Propaganda zimefika mwisho.Hii ni fedhea ya Hali ya juu Sana kwa kwa wale walioamini USA Ni super power[emoji28]
Hata kama Ingekua ya mwaka juzi lakini point ni kwamba wamelipa kwa ruble.Habari ya Mwezi March
Msemo mpya umefanya kazi"Wacha inyeshe tuone panapovuja".Aisee [emoji38][emoji38][emoji38]
Aibu kubwa Sana ,Hawa wezi kuja hapa , hao mara nyingi Huwa Wana aminishwa na media zao kuwa Russia Hana uwezo wowote hata uchumi wake ume paralaizi ,[emoji38][emoji38]
Fedheha gani wakati wamekodiwa kama Uba?!Hii ni fedhea ya Hali ya juu Sana kwa kwa wale walioamini USA Ni super power[emoji28]
🇷🇺💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝Endelea kujitoa ufahamu Mkuu...
Usiteseke bure, Marekani hajawahi kujitegemea hata mara 1 kwenda anga za juu mwenyewe bila kupewa lifti na Urusi...Mara zote amekuwa akipewa lifti na Mrusi nakuwekea miaka kadhaa hapa 2010 hadi 2020...ya 2022 nishakuwekea.
View attachment 2260406View attachment 2260407View attachment 2260408
View attachment 2260410
Uwezo mkubwa alikua nao Urusi kwenye masuala ya anga,ndio angekua nao rohombaya marekaniMrusi .Aisee [emoji38][emoji38][emoji38]
Aibu kubwa Sana ,Hawa wezi kuja hapa , hao mara nyingi Huwa Wana aminishwa na media zao kuwa Russia Hana uwezo wowote hata uchumi wake ume paralaizi ,[emoji38][emoji38]
Stupid commentHii inakusaidia nini wewe binafsi katika jitihada zako za kuwa stable kiuchumi as an individual and a member of the nation ?
Yule ni tabulalasa makelele mengiYule jamaa yao wa SPACE-X nae alishindwa kutoa pande ili huyo mwanaanga wa US arudi home salama au ndio mbwembwe tu za TWITTER
Mbwembwe tu , waweza kukuta hata huo utajiri Alionao umekuzwa mara 3 yke [emoji91][emoji38]Yule jamaa yao wa SPACE-X nae alishindwa kutoa pande ili huyo mwanaanga wa US arudi home salama au ndio mbwembwe tu za TWITTER
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] watu walilishwa propaganda sanaPropaganda zimefika mwisho.
Hakuna marefu yasiyo na ncha,
Mbio za sakafuni huishia ukingoni,
Kumbe Urusi masikini inategemewa namna hii na matajiri Hadi supa pawa?
Daladala USA kwenda angani -urusi.
Uranium ya umeme wa USA - Urusi.
Injini za roket za USA - Urusi.
Mbolea za mashamba ya USA - Urusi.
Mafuta kwa USA - Urusi.
Gesi ulaya - Urusi.
Da Kuna mtu atakuambia Urusi njaa tuu,Urusi msikini,Urusi hamna kitu.
Watu walilishwa propaganda kuliko chakula.
[emoji38][emoji38][emoji38]Msemo mpya umefanya kazi"Wacha inyeshe tuone panapovuja".
Tumeshapaona.
Najua west na pro west wanaumia kweli kwa habari kama hizi
Wana roho mbaya sana Hilo kiki wazi wanataka wao tu ndio wanufaikeUwezo mkubwa alikua nao Urusi kwenye masuala ya anga,ndio angekua nao rohombaya marekaniMrusi .
1)angekua ni mwanaanga wa Urusi angeachwa.
2)wamarekani wasingeshirikia kabisa na Urusi ili Urusi isifanikiwe au kujifunza chochote kuhusu space.
3)Dunia ingepata shida sana,maana mitambo yote iliyoko angani ingewza kuwa inalipishwa Kodi na Marekani.
Marekani ni wachoyo sana na Wana roho mbaya.
Kwa Nia ya kumiliki TU kitu tofauti Urusi aliwahi kutaka kununua mistrial ship Carrier ya kubebea helcopter kutoka Ufaransa.
Ufaransa ikakubali mauziano,Urusi ikalipa na Hela.
Marekani kusikia hivyo ikaenda kumuambia Ufaransa aache mara moja Dili hilo kwa sababu Urusi atapata technolojia ya meli hiyo.
Aisee Ufaransa alisitisha mkataba na Hela akarudisha.kibaya zaidi kwa mujibu wa mkataba ilibidi Ufaransa amlipe Urusi zaidi kwa kuvunja mkataba.
Urusi ilisema Ina uwezo wa kutengeneza meli kama hiyo ila sema ilitaka TU kununua toka ufarasa kama zifanyavyo nchi nyingine.
Marekani roho mbaya sana.
USA kaomba lift kwa USD billion 2 in rubles equivalent.Hii ni fedhea ya Hali ya juu Sana kwa kwa wale walioamini USA Ni super power[emoji28]
... bro hata dp yako imekaa kimarekani mweusi, sema kwa hili sina la kusema zaidi ya pole sana aisee.USA kaomba lift kwa USD billion 2 in rubles equivalent.
Mwanaanga anauza sura kwenye rocket ya mnyamakazi Putin 🤣🤣🤣 af Pro NATO wa Chamazi wanakaza Ubongo pamoja na yule mwenzao MK254 toka slum za Kibera!Huyu mwana anga wa Kimarekani Mark Vande anapiga picha na mbwembwe kibao, kumbe yupo kwenye chombo cha Urusi kapewa lift🤣🤣😅😅😇😇
View attachment 2260312
View attachment 2260313
Asante sana mkuu when it comes to logical matters i stand with Putin... bro hata dp yako imekaa kimarekani mweusi, sema kwa hili sina la kusema zaidi ya pole sana aisee.