Propaganda zimefika mwisho.
Hakuna marefu yasiyo na ncha,
Mbio za sakafuni huishia ukingoni,
Kumbe Urusi masikini inategemewa namna hii na matajiri Hadi supa pawa?
Daladala USA kwenda angani -urusi.
Uranium ya umeme wa USA - Urusi.
Injini za roket za USA - Urusi.
Mbolea za mashamba ya USA - Urusi.
Mafuta kwa USA - Urusi.
Gesi ulaya - Urusi.
Da Kuna mtu atakuambia Urusi njaa tuu,Urusi msikini,Urusi hamna kitu.
Watu walilishwa propaganda kuliko chakula.