mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Itaje nyingine mkuuSasa mkuu wewe feeling moja tu unayoijua?
Ziko nyingi Sana
Naomba mnaocomment orodhesheni nyingine mnazo/mlizo experience.
Hahahahahha ujue hii ndoa haina hata mwaka Mpwa!Wakuu
Hakuna Feeling Tamu Kama Umkute Mke Wako Amevaa T-shirt Lako Oversize, No Bra,
Halafu Anakuandalia Chakula
Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
Sina mwanamke nikaishi Naye Bado sielewiItaje nyingine mkuu
Kiukweli siwezi kukataa naangaliaga[emoji23][emoji23] Mkuu umeacha ugoro Sasa unangalia video za ngono
Naona umeamua kuvunjavunja ubongo wako.
Wakuu
Hakuna Feeling Tamu Kama Umkute Mke Wako Amevaa T-shirt Lako Oversize, No Bra,
Halafu Anakuandalia Chakula
Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
Hahaha mambo ya movie za kimarekani hayo.Huku ni madera tuWakuu
Hakuna Feeling Tamu Kama Umkute Mke Wako Amevaa T-shirt Lako Oversize, No Bra,
Halafu Anakuandalia Chakula
Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
Hii kitu nilifanyaga sana chuo lakini wapiiiiii....niliachwa kabla ya second year teh!
Dah!Hii kitu nilifanyaga sana chuo lakini wapiiiiii....niliachwa kabla ya second year teh!
Hii kitu nilifanyaga sana chuo lakini wapiiiiii....niliachwa kabla ya second year teh!
Pole Jo...
Mjomba ndoa ina miaka zaidi ya kumiHahahahahha ujue hii ndoa haina hata mwaka Mpwa!