Feeling tamu, kumkuta mkeo akikupikia huku amevaa shati lako oversize!

Feeling tamu, kumkuta mkeo akikupikia huku amevaa shati lako oversize!

Picha ya kusindikiza uzi.
IMG_20210816_190555_023.JPG
 
feeling tamu mkeo aingie kulala kavaa chupi ile inayokata tako nusu. yani tako nusu limefunikwa tako nusu linaonekana
Screenshot_20210816-185857_Soul~(1).jpg
 
Duh ...ndo mambo ya honeymoon hayo ..
Walifanya Wazee wetu zamani
Siku hizi honeymoon watu wanasafiri kabisa
Siku hizi honeymoon inakutana na watoto wawili au watatu....acha tu wasafiri
 
Mapenzi ni ubunifu tu kila siku utamwona mpya mwenzi wako[emoji16][emoji1635]
 
He he he he sasa mimi shati la Its Pancho linaanzaje kuwa bwanga kwangu?[emoji23][emoji23][emoji23]naona kabisa huu utamu haumuhusu babe wangu.
Tatizo unanenepa sana mke wangu hasa chura inazidi kukua kubwa sana
Zamani mashati yangu yalikuwaga hayakutoshi ila siku hizi ni size na mengine yanakubana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Huu utamu hautuhusu babe..
 
Back
Top Bottom