Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kwanini?Aliekuacha alikusaidia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Aliekuacha alikusaidia sana
😂😂Kwahyo tuseme mliishia pasaka[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]maindi yananipalia mama[emoji23][emoji23]
Kweli ulikuwa na kiherehere😂😂😂Feeling tamu ni shati tu? nilivaa viatu vya mtu navyo ni oversize nikaambiwa "hivi mwanamke una nini vingine si nshakuachia" 😁
Au nijaribu na shati....
Au nitest na shati labdaKwel ulikuwa na kiherehere😂😂😂
Eee mara moja moja unamshitua kwa kuvaa boxer yakeAu nitest na shati labda
Halafu baadae mtoto wa watu anachezea kibuti.........Wakuu
Hakuna feeling tamu kama umkute mke wako amevaa T-shirt lako oversize, no Bra,
Halafu Anakuandalia Chakula
Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!