muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
...😎😎Enzi zile bado hamjapata watoto,mna uhuru wa kutosha,unamuinua chap...unatupiamo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuuuuUkiona mapenzi yanakua matamu sana,take your breaks quickly na rudi into reality
Kuna dhoruba haliko mbali linakuja
Acha kabisa mkuu, hakuna raha kama ndoa...😎😎Enzi zile bado hamjapata watoto,mna uhuru wa kutosha,unamuinua chap...unatupiamo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahha ujue hii ndoa haina hata mwaka Mpwa!
Unakosa mengi mkuu. Jiunge ChamaniSina mwanamke nikaishi Naye Bado sielewi
Usiwaze mabaya, waza mema. Amini kwenye mambo mazuri na kwamba yupo nawe pekeeMda huo ametoka ku flirt na muhun mmoja ,sasa anaamua kukuchanganya na mshati wako....dont get caught bro
Vicoba mbali, mwenye nyumba hajalipwa kodi mwezi wa tatu huu. Mnaishi kama digidigiMama anadaiwa vikoba akumbuke kuvaa shati la baba 🤣🤣
The moment unawaza hivyo ndio umekwisha mkuu...usitafute amani wakati wa vitaUsiwaze mabaya, waza mema. Amini kwenye mambo mazuri na kwamba yupo nawe pekee
Jamaa anaongelea maisha ya bongo movieVicoba mbali, mwenye nyumba hajalipwa kodi mwezi wa tatu huu. Mnaishi kama digidigi
Tunaweka shida chini na kuinua mikono juuMama anadaiwa vikoba akumbuke kuvaa shati la baba 🤣🤣
Chanzo kikubwa Cha mama kutokufika mlimani ni mawazo pia hivyo vivyo tatizo la nguvu za kiume chanzo ni mawazoTunaweka shida chini na kuinua mikono juu
Hii haibagui mkuu. Ni kwa wote. Vimbaumbau na mabongeMnatutenga wenye wake vibonge jamani sio uungwana huo.
Aaah mkuu acha basii sasa kibonge wangu atavaaje nguo yangu mimi kimbaumbau. Kumbuka wife ni kama ashaboko.Hii haibagui mkuu. Ni kwa wote. Vimbaumbau na mabonge