Feeling tamu, kumkuta mkeo akikupikia huku amevaa shati lako oversize!

feeling tamu mkeo aingie kulala kavaa chupi ile inayokata tako nusu. yani tako nusu limefunikwa tako nusu linaonekana
 
Duh ...ndo mambo ya honeymoon hayo ..
Walifanya Wazee wetu zamani
Siku hizi honeymoon watu wanasafiri kabisa
Siku hizi honeymoon inakutana na watoto wawili au watatu....acha tu wasafiri
 
Mapenzi ni ubunifu tu kila siku utamwona mpya mwenzi wako[emoji16][emoji1635]
 
He he he he sasa mimi shati la Its Pancho linaanzaje kuwa bwanga kwangu?[emoji23][emoji23][emoji23]naona kabisa huu utamu haumuhusu babe wangu.
Tatizo unanenepa sana mke wangu hasa chura inazidi kukua kubwa sana
Zamani mashati yangu yalikuwaga hayakutoshi ila siku hizi ni size na mengine yanakubana 😍😍😍
Huu utamu hautuhusu babe..
 
Moment nzuri ni kukaribishwa kwa hot tub au jaccuzzi likishakuwa limewekwa lile povu la manukato...damnnnn!!!!

Now imagine yule anayekukaribisha anakuwa kavaa au hajavaaje...
Hot tub maji bongo kwa vidumu yva lita 20 wapi na wapi πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…