"Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

"Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

Karudie kutazama mechi dhidi ya rivers ndio utajua ni wa kawaida sana.
Mechi ya Rivers niliangalia na Fei salum alitengeneza clear chance mbili kwa Makambo Ambazo zote alilenga nje.
 
Back
Top Bottom