"Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

"Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

Utaje , ni aina gani ya kiungo . Mf ,nyanya , pilipili, kitunguu , mdarasini n.k. Lakini kama unamaanisha kiungo wa mpira, acha utani usio na faida ktk jamii .Feitoto huyu ambaye hata timu dhaifu za shelisheli , somalia na Djibouti haziwahi kumuhitaji ndiye umulinganishe na chama ?Feitoto huyu ambaye timu anayochezea inashika nafasi ya 300 katika ubora wa vilabu barani Afrika ndiye alinganishwe na chama anayecheza miongoni mwa vilabu bora kabisa barani Afrika kweli jamani?Huku sasa nikumkufuru Mungu.
Tangu lini mchezaji bora akatakiwa na timu dhaifu?
 
Back
Top Bottom