"Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

"Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

Mchezaji wa ndondo una mfananisha na watu wakubwa. Dhambi kumdhihaki chama na urojo wenu huo
 
Ana magoli mangapi national team?
Huko national team umepataja fasta ili.kiwe kivuli chako ila tuje tu kwa club fei ana mafanikio gani kimataifa..? Au huko national team.ana magoli mangapi..?
 
Fei salum ni level za Kina Khama billit,Ngoma au Dieng.

Anaweza akacheza kama 8 au 10.

Anasifika kwa mashuti ya mbali,dribble, na chenga za mauzi.

Amezifunga timu nyingi kama Tunisia, Madagascar simba nk
Nakazia
 
Hutumii akili zako kwa faida.Halafu,muache kumuita Fei Toto.Amezeeka.Aitwe Fei Babu.😝😝😝👆👆
 
Feizee huyu wa kuvua jezi Mapinduzi cup au Feizee mwingine? Kama ni huyu wa Mapinduzi cup , basi aliyeandika huu ushuzi alijampa akili zikapeperushwa na upepo .
 
Fei salum ni level za Kina Khama billit,Ngoma au Dieng.

Anaweza akacheza kama 8 au 10.

Anasifika kwa mashuti ya mbali,dribble, na chenga za mauzi.

Amezifunga timu nyingi kama Tunisia, Madagascar simba nk
Screenshot_20220219-073015_1.jpg

Ikae karibu kwa Wana utopox
 
Fei salum ni level za Kina Khama billit,Ngoma au Dieng.

Anaweza akacheza kama 8 au 10.

Anasifika kwa mashuti ya mbali,dribble, na chenga za mauzi.

Amezifunga timu nyingi kama Tunisia, Madagascar simba nk
Utaje , ni aina gani ya kiungo . Mf ,nyanya , pilipili, kitunguu , mdarasini n.k. Lakini kama unamaanisha kiungo wa mpira, acha utani usio na faida ktk jamii .Feitoto huyu ambaye hata timu dhaifu za shelisheli , somalia na Djibouti haziwahi kumuhitaji ndiye umulinganishe na chama ?Feitoto huyu ambaye timu anayochezea inashika nafasi ya 300 katika ubora wa vilabu barani Afrika ndiye alinganishwe na chama anayecheza miongoni mwa vilabu bora kabisa barani Afrika kweli jamani?Huku sasa nikumkufuru Mungu.
 
Back
Top Bottom