Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Soma tena ulichoandika ujione ulivyo mshambaUmeshiba makande, sasa unaanza kuchafua hali ya hewa.
Leta kiungo wako unaemkubali tupimeVipi kuna tatizo linamyemelea huyo dogo!! mbona from no where unampigia promo ka za wauza mitumba ya kurusha
Nimeandika hivi; baada ya kushiba makande ya kunde, sasa umekaa kwenye feni la pangaboy unachafua hali ya hewa.Soma tena ulichoandika ujione ulivyo mshamba
Mchezaji anaefanya ukabwili hawezi kujipinda kufunga goli kama alilowafunga Ruvu shooting lile goli ni la viwango vya soka.Mbona kama anatabia za kabwili
Leta kiungo wako unaemkubali mzee acha porojo ili jukwaa la michezo.Nimeandika hivi; baada ya kushiba makande ya kunde, sasa umekaa kwenye feni la pangaboy unachafua hali ya hewa.
Pale yanga kuna ukabwili mwingi sana.Mbona kama anatabia za kabwili
Mechi ya Rivers niliangalia na Fei salum alitengeneza clear chance mbili kwa Makambo Ambazo zote alilenga nje.Karudie kutazama mechi dhidi ya rivers ndio utajua ni wa kawaida sana.
Tumuombee aache ukabwili ni mchezaji mzuri.Mchezaji anaefanya ukabwili hawezi kujipinda kufunga goli kama alilowafunga Ruvu shooting lile goli ni la viwango vya soka.
Usipate tabu kipimo ni IQ yake ukichanganya na hizo kundeNimeandika hivi; baada ya kushiba makande ya kunde, sasa umekaa kwenye feni la pangaboy unachafua hali ya hewa.
Elp Michel antonio anamzidi magori harry kane kwa akil yako utasema antonio ni bora kuliko kane?Leta kiungo wako unaemkubali mzee acha porojo ili jukwaa la michezo.
Umeshindwa kujadili hoja unawashwa eee? mtu kama wewe niku ignore nisione ufala wako milelePale yanga kuna ukabwili mwingi sana.
Hamna kitu wa kawaida sana huyo sema yupo timu isiyo na malengo makubwaMechi ya Rivers niliangalia na Fei salum alitengeneza clear chance mbili kwa Makambo Ambazo zote alilenga nje.
SawaHamna kitu wa kawaida sana huyo sema yupo timu isiyo na malengo makubwa