Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Picha: Fesal Salum 'Fei Toto'
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda.
Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa
Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa pembeni wa Simba, Mohamed Husseini na Shomari Kapombe.