OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akae na Yanga wamalizane, hiyo approach anayoenda nayo haitamsaidia. Au la aendelee kususa hadi mkataba utakapofikia level ya kyvunjika.View attachment 2585280
Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
Ameandika hayo manyanyaso kwa TFF!? ni manyanyaso gani....!? Tuanzie hapo kwanza Ili asaidike..View attachment 2585280
Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
Kukosa akili nacho ni kipajiView attachment 2585280
Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
Mpuuzi sana, yeye mashabiki na washauri wakeDogo anaendesha vitu kama sio proffesional ili apate sympathy ila ndio haitomsaidia.
Kwa wanasheria Feitoto ni Fursa, ni fuko la fedha waache wajitafunie fedha.Wanasheria wake hawana akili
Mtoto mjinga huyu.Ameandika hayo manyanyaso kwa TFF!? ni manyanyaso gani....!? Tuanzie hapo kwanza Ili asaidike..
Na akikaa mkataba utakapoisha kama afanyavyo sahivi kuna kesi ya kutokutumikia mkataba mambo sio marahis kama anavyodhaniAkae na Yanga wamalizane, hiyo haitamsaidia. Au la aendelee kususa hadi mkataba utakapofikia level ya kyvunjika.
Awali nilikua namtetea sana, ila hivi sasa acha aendelee kupitia anayoyapitia
Na ndio maana kila nikijaribu kukuiga nashindwa, nilikuwa najiuliza unawezaje wezaje kumbe ni kipajiKukosa akili nacho ni kipaji
Sheria ni msumeno, unakata kote kote.Yanga achani uhuni, nyie ni Club kubwa kama mnavyojiita sasa kama mchezaji hataki kucheza na nyie kwa nini muamue kumkomoa.
Angalieni Duniani mbona Man U waliamua kuachana na Ronaldo kwa mutual aggrements - makubaliano bila kuthiri pande zote mbili.
Mwiteni kijana kaeni naye myamalize, je mlimwita akagoma kuja mezani? - Wachezaji wanaojielewa watakuwa wanagoma kujiunga na ninyi.
Acheni mambo ya kitoto, mnatuboa sasa.
![]()
Cristiano Ronaldo and ManU part ways: The story behind the divide | Business Insider India
Cristiano Ronaldo and ManU part ways: The story behind the dividewww.businessinsider.in
kuna muda hata mahakama nayo huwa inatoka na kuingia kwenye chemba.Sheria ni msumeno, unakata kote kote.