Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fei Toto ataungana na MANZOKI pale Simba. Usajili mzuri saanaMil 600 - kwa mil 200 kila mwaka sindiki nzurinkwa fei.
Wampe 500mil cash mkononi - wamshawishi zingine zitakazobakia majaliwa ya muumba atakutana nazo mbele.
Fei ni wa kawaida sana. Acheni kulazimisha paka kuwa chui. Yaani wabongo wakimpenda mchezaji watamkuza sana. Zamani niliamini Kaseja ni sawa na casilas wa Real Madrid lakini nikajiuliza mbona timu za ulaya hazimuitii!!!Kwa kiwango Cha Fei niseme TU hiyo hela ni ndogo sana labda kama Kuna kingine hatukioni ila ml 600 kwa Fei hapana
Fei ni Yaya Toure wa ligi yetu ni alama ya mpira wa tz move ya kwenda Simba ni nzuri sana kwa kiwango chake kuliko kuwa chamazi pasipokuwa na ndoto yoyote ila sio kwa hiyo hela Simba waweke angalau bill 1 na ilipwe haraka na kwa utulivu
Casillas na kaseja wawe sawa !?Fei ni wa kawaida sana. Acheni kulazimisha paka kuwa chui. Yaani wabongo wakimpenda mchezaji watamkuza sana. Zamani niliamini Kaseja ni sawa na casilas wa Real Madrid lakini nikajiuliza mbona timu za ulaya hazimuitii!!!
Tupe udhibitisho wa hichi ulicho kiandika.Kitu ambacho amkijui ni mkataba wa fei ulivyo, ni ngumu sana kwa Azam kumuuza fei kwa sasa labda mpaka amalize mkataba wake ama avunje mkataba wake jambo ambalo ni gumu kwakuwa Azam anatakiwa ailipe yanga bilioni Moja kama itamuuza ndani ya nchi kwa timu yoyote Ile ama endapo itamtoa kwa mkopo kwa timu yoyote Ile ndani ya nchi, kwa maana iyo itawalazimu Azam wamuuze si chini ya bilioni Moja na nusu ili na wao wapate faida yao kwa kuwa bilioni Moja itaenda yanga,,sasa ni timu Gani bongo hapa itatoa iyo pesa kwaajili ya feitoto? Yanga wanajua kilichopo ndio maana wametulia tuli wanajua Kuna watu wanafurahisha genge tu na propaganda uchwara za milioni 600
Wabongo walikuwa walimkuza sana. Hata huyu Ngoma wa Simba nilivyosikia wamemuiba Airport nikajua ni level za Ronaldo, pia nilivyosikia Che Malon ni ukuta wa Babeli nikaogopa sana lakini kumbe anazidiwa na Zimbwe na Kapombe. SIMBA WANAJUA KUM BRAND MTU WALAAH!!Casillas na kaseja wawe sawa !?
Hatari sana
Mbona simple tuu, wakiamua kufanya biashara inafanyika tuu, dogo anapewa hela anavunja mkataba anaondoka as free agent, Azam wanapata chao Yanga hawapati kitu maana anakua amevunja mkataba hajauzwaKitu ambacho amkijui ni mkataba wa fei ulivyo, ni ngumu sana kwa Azam kumuuza fei kwa sasa labda mpaka amalize mkataba wake ama avunje mkataba wake jambo ambalo ni gumu kwakuwa Azam anatakiwa ailipe yanga bilioni Moja kama itamuuza ndani ya nchi kwa timu yoyote Ile ama endapo itamtoa kwa mkopo kwa timu yoyote Ile ndani ya nchi, kwa maana iyo itawalazimu Azam wamuuze si chini ya bilioni Moja na nusu ili na wao wapate faida yao kwa kuwa bilioni Moja itaenda yanga,,sasa ni timu Gani bongo hapa itatoa iyo pesa kwaajili ya feitoto? Yanga wanajua kilichopo ndio maana wametulia tuli wanajua Kuna watu wanafurahisha genge tu na propaganda uchwara za milioni 600
Hichi kipengele aliyekiweka wazi ni Fei, Azam au Yanga?Kitu ambacho amkijui ni mkataba wa fei ulivyo, ni ngumu sana kwa Azam kumuuza fei kwa sasa labda mpaka amalize mkataba wake ama avunje mkataba wake jambo ambalo ni gumu kwakuwa Azam anatakiwa ailipe yanga bilioni Moja kama itamuuza ndani ya nchi kwa timu yoyote Ile ama endapo itamtoa kwa mkopo kwa timu yoyote Ile ndani ya nchi, kwa maana iyo itawalazimu Azam wamuuze si chini ya bilioni Moja na nusu ili na wao wapate faida yao kwa kuwa bilioni Moja itaenda yanga,,sasa ni timu Gani bongo hapa itatoa iyo pesa kwaajili ya feitoto? Yanga wanajua kilichopo ndio maana wametulia tuli wanajua Kuna watu wanafurahisha genge tu na propaganda uchwara za milioni 600
Kitu usichokijua Yanga siyo wazuri kwenye mikataba ya aina hiyo.Kitu ambacho amkijui ni mkataba wa fei ulivyo, ni ngumu sana kwa Azam kumuuza fei kwa sasa labda mpaka amalize mkataba wake ama avunje mkataba wake jambo ambalo ni gumu kwakuwa Azam anatakiwa ailipe yanga bilioni Moja kama itamuuza ndani ya nchi kwa timu yoyote Ile ama endapo itamtoa kwa mkopo kwa timu yoyote Ile ndani ya nchi, kwa maana iyo itawalazimu Azam wamuuze si chini ya bilioni Moja na nusu ili na wao wapate faida yao kwa kuwa bilioni Moja itaenda yanga,,sasa ni timu Gani bongo hapa itatoa iyo pesa kwaajili ya feitoto? Yanga wanajua kilichopo ndio maana wametulia tuli wanajua Kuna watu wanafurahisha genge tu na propaganda uchwara za milioni 600
Originally kabisa alipotoka Zenji nia yake ilikuwa kuja Msimbazi lakini alipotua Tanganyika viongozi wa SIMBA wa wakati huo wakazembea kwenda kumpokea ndipo akanyakuliwa na mweweKiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari kulipa kwa mafungu ya Tsh milioni 200 kila mwaka.
Soma: Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida
Fei Toto amekubali kujiunga na Simba akiona ni hatua kubwa katika safari yake ya kusakata Soka.
View attachment 3195088
Pamoja na yote lakini dogo ni wa kawaida sana sema mashabiki wa Simba mkimpenda mchezaji mtampamba sana aonekane RonaldoOriginally kabisa alipotoka Zenji nia yake ilikuwa kuja Msimbazi lakini alipotua Tanganyika viongozi wa SIMBA wa wakati huo wakazembea kwenda kumpokea ndipo akanyakuliwa na mwewe
Mkataba wa Feisal na Yanga uliisha June 2024, huyu kwa Sasa ni Mali ya Azam 100%Kitu ambacho amkijui ni mkataba wa fei ulivyo, ni ngumu sana kwa Azam kumuuza fei kwa sasa labda mpaka amalize mkataba wake ama avunje mkataba wake jambo ambalo ni gumu kwakuwa Azam anatakiwa ailipe yanga bilioni Moja kama itamuuza ndani ya nchi kwa timu yoyote Ile ama endapo itamtoa kwa mkopo kwa timu yoyote Ile ndani ya nchi, kwa maana iyo itawalazimu Azam wamuuze si chini ya bilioni Moja na nusu ili na wao wapate faida yao kwa kuwa bilioni Moja itaenda yanga,,sasa ni timu Gani bongo hapa itatoa iyo pesa kwaajili ya feitoto? Yanga wanajua kilichopo ndio maana wametulia tuli wanajua Kuna watu wanafurahisha genge tu na propaganda uchwara za milioni 600
Huo mkataba wa kuwapa nyuma mwiko bilioni wewe uliuona 🤔Kitu ambacho amkijui ni mkataba wa fei ulivyo, ni ngumu sana kwa Azam kumuuza fei kwa sasa labda mpaka amalize mkataba wake ama avunje mkataba wake jambo ambalo ni gumu kwakuwa Azam anatakiwa ailipe yanga bilioni Moja kama itamuuza ndani ya nchi kwa timu yoyote Ile ama endapo itamtoa kwa mkopo kwa timu yoyote Ile ndani ya nchi, kwa maana iyo itawalazimu Azam wamuuze si chini ya bilioni Moja na nusu ili na wao wapate faida yao kwa kuwa bilioni Moja itaenda yanga,,sasa ni timu Gani bongo hapa itatoa iyo pesa kwaajili ya feitoto? Yanga wanajua kilichopo ndio maana wametulia tuli wanajua Kuna watu wanafurahisha genge tu na propaganda uchwara za milioni 600
Kumbe ashura cheupe alikua sahihi kusema mashabiki wa nyuma mwiko nyote nyie hamna akili timamuNa vipi kuhusu Manzoki? Haki ya nani safari hii Mangungu asipotuletea Manzoki, tunaenda kumuondoa kwenye ile nafasi yake kwa nguvu. Hawezi na yeye kutugeuza mbumbumbu, kama alivyofanya Rage.
Angekuwa wa kawaida asingekuwa mjadalaPamoja na yote lakini dogo ni wa kawaida sana sema mashabiki wa Simba mkimpenda mchezaji mtampamba sana aonekane Ronaldo
Ha haaa 😆😆😆Hii si bei ya uwanja Goba 🚮🚮🚮