Azam ikimuuza nje yanga anao mgawo wake pia kwa maana iyo Azam aiwezi kumuuza nje kwa pesa ya nyanya ni fungu kubwa ivyo timu iliyomnunua nje ya nchi itakuwa ni juu yake kama ikiamua kumtoa kwa mkopo kwa timu ya Tanzania Tena kwakuwa yanga anakuwa ashavuta chake na Azam pia atakuwa ashavuta chake,,Mkuu, embu acha kuongozwa na emotions za kisoka rudi kwenye uhalisia.
Kama kweli wewe unavijua hivyo vipengele vya mkataba wa Fei, Yanga ikimtaka leo italipa kiasi gani?
Maana zipo tetesi atarudi Yanga dirisha kubwa.
Binafsi naamini suala la ugumu wa usajili wa Fei linahusiana zaidi na thamani yake sokoni sababu ya perfomance yake, na hii inazihusu timu zote hata za nje.
Ingekuwa kizuizi ni hicho kipengele cha B1 unachosema kwa timu za ndani angeuzwa nje kisha timu ya ndani inayomtaka ingemfata huko nje kwa mkopo.
Au kipengele ulichosoma kinasema hata akiuzwa nje timu ya nje ikitaka kumtoa kwa mkopo kwa timu za Tanzania iwalipe Yanga 1B?
Yanga haina mpango wa kumrudisha fei hizo ni tetesi tu za vijiweni,,