Tetesi: Fei Toto apokea Ofa ya Tsh Milioni 600 kutoka Simba SC kwa Mkataba wa miaka Mitatu

Mpira wa Tanzania hauna tofauti na siasa za CCM na Chadema...
 
Fei ni wa kawaida sana. Acheni kulazimisha paka kuwa chui. Yaani wabongo wakimpenda mchezaji watamkuza sana. Zamani niliamini Kaseja ni sawa na casilas wa Real Madrid lakini nikajiuliza mbona timu za ulaya hazimuitii!!!
 
Casillas na kaseja wawe sawa !?
Hatari sana
 
Tupe udhibitisho wa hichi ulicho kiandika.
 
Casillas na kaseja wawe sawa !?
Hatari sana
Wabongo walikuwa walimkuza sana. Hata huyu Ngoma wa Simba nilivyosikia wamemuiba Airport nikajua ni level za Ronaldo, pia nilivyosikia Che Malon ni ukuta wa Babeli nikaogopa sana lakini kumbe anazidiwa na Zimbwe na Kapombe. SIMBA WANAJUA KUM BRAND MTU WALAAH!!
 
Mbona simple tuu, wakiamua kufanya biashara inafanyika tuu, dogo anapewa hela anavunja mkataba anaondoka as free agent, Azam wanapata chao Yanga hawapati kitu maana anakua amevunja mkataba hajauzwa

Ila silioni hilo dili likitokea
 
Hichi kipengele aliyekiweka wazi ni Fei, Azam au Yanga?
 
Kitu usichokijua Yanga siyo wazuri kwenye mikataba ya aina hiyo.
Haijawahi kuwa na mwanasheria mwenye uwezo.
Watalaam wameupitia mkataba huo wameona mianya mingi ya kufanikisha dili hilo.
Kama Simba hawatamsajili Fei sababu zitakuwa ni za kimaslahi na wala si sababu za kimkataba.

Subiri atakapo sajiliwa kisha uje na ngonjera kama zile za Emanuel Okwi, Bernad Morrison na Yusuf Kagoma.
 
Originally kabisa alipotoka Zenji nia yake ilikuwa kuja Msimbazi lakini alipotua Tanganyika viongozi wa SIMBA wa wakati huo wakazembea kwenda kumpokea ndipo akanyakuliwa na mwewe
 
Originally kabisa alipotoka Zenji nia yake ilikuwa kuja Msimbazi lakini alipotua Tanganyika viongozi wa SIMBA wa wakati huo wakazembea kwenda kumpokea ndipo akanyakuliwa na mwewe
Pamoja na yote lakini dogo ni wa kawaida sana sema mashabiki wa Simba mkimpenda mchezaji mtampamba sana aonekane Ronaldo
 
Hii huwa inatokea Tanzania pekee mchezaji wa yanga akiwa anafanya vzr huwa anatakiwa aende nje ya nchi mfano mzuri Mzize ila kwa wachezaji wa timu zingine wanashauriwa waende simba mfano mzuri fei
 
Na vipi kuhusu Manzoki? Haki ya nani safari hii Mangungu asipotuletea Manzoki, tunaenda kumuondoa kwenye ile nafasi yake kwa nguvu. Hawezi na yeye kutugeuza mbumbumbu, kama alivyofanya Rage.
 
Mkataba wa Feisal na Yanga uliisha June 2024, huyu kwa Sasa ni Mali ya Azam 100%
Azam wakiamua wanamuuza Yanga hawana uhalali wowote wa kujihusisha na uhamisho wa Feisal.
 
Huo mkataba wa kuwapa nyuma mwiko bilioni wewe uliuona ๐Ÿค”
 
Na vipi kuhusu Manzoki? Haki ya nani safari hii Mangungu asipotuletea Manzoki, tunaenda kumuondoa kwenye ile nafasi yake kwa nguvu. Hawezi na yeye kutugeuza mbumbumbu, kama alivyofanya Rage.
Kumbe ashura cheupe alikua sahihi kusema mashabiki wa nyuma mwiko nyote nyie hamna akili timamu
 
Pamoja na yote lakini dogo ni wa kawaida sana sema mashabiki wa Simba mkimpenda mchezaji mtampamba sana aonekane Ronaldo
Angekuwa wa kawaida asingekuwa mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ