Tetesi: Fei Toto apokea Ofa ya Tsh Milioni 600 kutoka Simba SC kwa Mkataba wa miaka Mitatu

Hapo kwenye kulipana kwa mafungu hapooo..!!!!! HAYA
 
Atakua Mpuuzi kama ataamua kucheza Tena Tanzania, wakati Kaizer Chief, Mamelodi na Wydad wote wanamuhitaji, na offer zao hakuna Club Tanzania inaweza kutoa.
 
Sasa ile ya Utopolo sijui bilioni 1 Ndio acheze kwao itakuwaje😂😂😂

Ila yanga hawana akili.
 
Unapoenda dukan unatoa offer kwa muuza bidhaa au kwa bidhaa!
 
Kwa wanaojua baada ya wakala wake kupata chake, timu, kodi serikal yeye anabaka na ngap kwny hyo 600? Madili makubwa ya hivi unaweza pewa mgawanyo had ukachoka mixer kukata madeni ya timu kana anayo
 
Hizo siasa tu ndugu.. hkuna kipengele cha aina hyo. Iyo ilikuwa zubaisha bwege
 
Kwa wanaojua baada ya wakala wake kupata chake, timu, kodi serikal yeye anabaka na ngap kwny hyo 600? Madili makubwa ya hivi unaweza pewa mgawanyo had ukachoka mixer kukata madeni ya timu kana anayo
Hapo hakuna hela ya wakala yote ni yake wakala analipwa tofauti na mchezaji kibu alilipwa 300m wakala wake 50m
 
Hizo siasa tu ndugu.. hkuna kipengele cha aina hyo. Iyo ilikuwa zubaisha bwege
Tumeona Simba ilivyomsajili kabla dirisha alijafungwa,,habari za kwenye vijiwe vya kahawa uwa mnavizingatia sana
 
Unatuletea story za vijiweni. Wewe uko Sikonge ndanindani huko, mkataba wa Feisal umeuonea wapi?
Nimeona mlivyomsajili kabla dirisha alijafungwa,,mtakuwa mnabaki na propaganda uchwara kuhusu fei Kila dirisha likifunguliwa but amtoweza kumsajili labda mkataba wake ukiisha, vipengele vya kimkataba vinaibana Azam usidhani yanga walikuwa wajinga kwenye lile sakata lake!
 
Mkuu, embu acha kuongozwa na emotions za kisoka rudi kwenye uhalisia.

Kama kweli wewe unavijua hivyo vipengele vya mkataba wa Fei, Yanga ikimtaka leo italipa kiasi gani?

Maana zipo tetesi atarudi Yanga dirisha kubwa.

Binafsi naamini suala la ugumu wa usajili wa Fei linahusiana zaidi na thamani yake sokoni sababu ya perfomance yake, na hii inazihusu timu zote hata za nje. Mfano kuna tetesi Keiser Chief naye katuma ofa imekataliwa.


Ingekuwa kizuizi ni hicho kipengele cha B1 unachosema kwa timu za ndani angeuzwa nje kisha timu ya ndani inayomtaka ingemfata huko nje kwa mkopo.

Au kipengele ulichosoma kinasema hata akiuzwa nje timu ya nje ikitaka kumtoa kwa mkopo kwa timu za Tanzania iwalipe Yanga 1B?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…