Fei ToTo ona aibu hii ya Azam 0-2 Simba. Huisaidii timu kwanini?

Fei ToTo ona aibu hii ya Azam 0-2 Simba. Huisaidii timu kwanini?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Kuna watu wana bahati duniani. Hivi Fei TOTO ni wa kulipwa hela hizi zote, kwa lipi hasa?

Simba walikuwa wanajichosha bure kumlilia Fei.
 
Alikuwa anajichekelesha tu like nothing happened.

Hata hivyo timu sio ya babake acha ajichumie hela apite hivi
 
Kama timu yao ilizidiwa na Simba siku Ile, yeye ndiyo angefanya nini?

Huyo atang'aa wakicheza na TRA sio Simba sports club
X-factor huwa inaamuaga matokeo hali ikiwa ngumu.
 
Kuna watu wana bahati duniani. Hivi Fei TOTO ni wa kulipwa hela hizi zote, kwa lipi hasa?

Simba walikuwa wanajichosha bure kumlilia Fei.
Yaani jamaa (Fei) anajichotea minyama bila kufanya kazi. In short, he is a ghost worker.
 
Hamna mchazaji wa maana humo ni vile tu tumeendekeza mapambio
 
Kwani analipwa kiasi gani kwa mwezi. The Gross Salary.
 
Back
Top Bottom