Fei Toto tafadhali ufanyie sana Kazi huu Ushauri wangu mzuri na nakuomba Usiupuuze kabisa

Upuuzi mtupu.

Fatma Karume aliyeuona mkataba wa Fei na Yanga anasema kifungu cha 14.7 kwenye mkataba huo kinamruhusu mchezaji kuondoka, kama aliwawekea Yanga pesa ili aondoke kwanini Yanga waligoma kupokea?

Yanga wamewahi kukanusha uwepo wa hicho kifungu kwenye mkataba wao na Fei?

Ukimya wao kwanini tusiamini wanabebwa na TFF kwa kushirikiana na yule mwanasiasa mmiliki wa Singida BS?

Hapo hakuna Fei kushauriwa vibaya wala kingine chochote, ni madudu tu ya TFF ndio yanafanyika.
 
huyu mwamba aliyeandika hii ana kitu kama nyerere tu,ajengewe mnara kabisa na pembezoni upandwe maua yake...Fei alijua Yanga ni ya mwaka 47 kwamba anaweza kuondoka kama msela anavyoondoka gesti house baada ya kula nyapu ya malaya
 
Mtani leo tv imetulia hakuna mawingu wala upepošŸ˜‚šŸ˜‚
 
Ha ha ha mkuu matusi ya nini tena?
Matusi ambayo GENTAMYCINE Kutwa anatukanwa hapa huwa hamuyaoni ila Mimi nikijibu tu Mapigo Vipira Pori vyenu Vyeusi vinaanza Kuwawasha na Kuniona Mkosaji na Mkorofi.

Huna Akili na Hamna Akili.
 
Hakuna anaekukubali chenjeo kama wewe sema wakuhype tu ujione mtu na undumilakuwili wako
Sasa kama haunikubali / hamnikubali huku mkisema sina Akili kwanini bado 24/7 ( Kila Siku ) mnahangaika Kusoma Mada zangu GENTAMYCINE wakati mnawajua Watu Wengine mnaowaona wana hizo Akili na Bora Kwenu?

Pumbavu.
 

unamfahamu since day 1, unajua kabisa hana la maana, kwa nini unafuatilia thread zake?
 
We jamaa unachekesha sana sometime. Jasho lakutunzwa kwenye chupa linakuwa na ujazo gani na wazee wanalikamua wakati gani na mchezaji anakuwa wapi
 
Niwekee hapa Ushahidi wa yafuatayo....

1. Nilisema kuna Lugha ya Kitutsi

2. Jana nimesema Mimi ni Mjukuu wa Marehemu Nimrod Elirehema Mkono

3. Nafanya Kazi katika Media unayoijua.

MAJIBU YAKO JUU YA NYERERE NA MUSEVENI

Na bahati nzuri hata Kaka yangu Makongoro Nyerere ( RC Manyara ) hii ID yangu ya GENTAMYCINE anaijua vyema.

Nilipozaliwa Agha Khan Hospital chini ya Sister Brenda na Aghatha Marehemu Baba yake Baba wa Taifa alikuja Kunibeba ( akitokea Ikulu Magogoni iliyo mita chache na Hospitali tajwa ) na hata Jina langu Halisi Yeye ndiyo alinipa.

Hao akina Kaka Makongoro na Dada yake Anna wamenilea na wamenibeba mno Mdogo wao Ikulu Magogoni, Msasani Kwao na hata Kwetu Oysterbay walipokuwa wakija.

Kuhusu Rais Museveni ( Familia yake ) na GENTAMYCINE pamoja na Familia yangu nenda Foreign Affairs pale kawaulize ni Nani alimpokea Mtoto wa Kiume wa Rais Museveni aitwae Muhoozi Kainerugaba mwaka 2014 na nikamtembeza alikozaliwa Upanga, nikampeleka UDSM, kisha Makumbusho Magomeni na kumalizia kwa Bibi Mama Maria Nyerere Msasani akamsalimie.

Mwaka 2019 Binti Mkubwa wa Rais Museveni aitwae Natasha na Mumewe walikuja Kuhudhuria Harusi ya Dada yangu na Watu wa Foreign Affairs ( Maafisa ) wanalijua hili na nilishirikiana nao kwa huo Ugeni.

Kwakuwa Rais Mstaafu Kikwete yuko hapa JamiiForums mtafute umuulize mwaka 1996 Mkapa akiwa Rais na Yeye Waziri wa Mambo ya Nje alipoenda nchini Uganda ( hasa Nakasero State ) Rais Museveni alimkutanisha na Watoto wa Viongozi gani Wawili Wastaafu hapa Tanzania ( tukiwa na Dada Cecy Kabila Dada wa aliyekuwa Rais wa Congo DR Joseph Kabila ) huku akiambiwa mbele ya Balozi wa Tanzania nchini Uganda Marehemu Mzee Tambwe kuwa Mimi na huyo Mwenzangu tuko pale na anatusomesha na kutulea kama sehemu ya Asante yake kwa Msaada mkubwa ambao Tanzania imempa hadi Yeye kuwa Rais hivyo alivyo sasa.
Nimemaliza.
 
Mimi huwa sisomi mada zako naandika tu nikunyime amani bwana andunje
Sasa kama Unakiri kuwa huwa husomi Mada zangu lakini huwa Unaandika ili uninyime Amani huoni kuwa Wewe automatically ni Mental Case / Bipolar kama Mwenzako TADPOLE?

Na ili uone unavyoniogopa GENTAMYCINE yaani umeacha Kutumia ID yako Maarufu hapa JamiiForums Kupambana nami na Kukulazimu kuitumia hii ya Akiba ili ikitokea ukapewa BAN uweze kuendelea na hiyo ID yako Maarufu hapa uliyoipumzisha kwa sasa.

Kama kuna Zawadi Kubwa na ya Kipekee niliyopewa na Mwenyezi Mungu ni AKILI, UTAMBUZI na MAONO.
 
unajua kabisa ni mbumbumbu halafu bado unafuatilia mada zake, dah!!!
Hivi kwa hapo Mimi na Wao ( Huyo ) nani ndiyo Mbumbumbu ( Fool ) hasa?

Umeuliza Swali Kuntu na lenye Akili vile vile ila kamwe usitegemee huyo Bipolar Kukujibu.
 
Kumbe jina la Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kasungura ulipewa na Mwalimu JK mwenyewe ?
 


kumbe kuna mda unakuaga na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…