Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa Azam na gongo lake anavishwa medali.
Lakini Kwa namna nisiyotarajia mdogo wangu Feisal sikumuona. Labda kama atakuja na sababu isoyotia Shaka iliyosababisha asiwepo.
Kama Hana sababu zaidi ya makusudi na siasa za usajili basi amevuka mipaka ya ustaarabu wa soka.
Feisal ni mchezaji mzuri lakini Kwa mwenendo huu hapana, utapotea mdogo wetu.
Pia soma: Feitoto wakati unatunyamazisha Wana Dar Young Africans Kiukweli Ulifanikiwa, Ila Kiko Wapi?