Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

Kila siku mnamuandama kama mume mwenza wenu, alivyondoka majini fc mkasema anapotea, hadi saiv hatujaona kama aliomba msaada kwenu kwamba amepotea aelekezwe njia, hajachukua golden boot, .ndio anaenda kupotea, hadi saivi hajaitisha press kuomba kuelekezwa njia sababu amepotea, leo tena hajachukua medali, ndio sjui mnasema ndio anazidi kupotea , tusubirie press conference aseme kama amepotea.
 
Asante jirani yake....
 
Anajiua kisoka..!!!
Akili zenu zimejaa mavi. Kwamba mtu asipovaa medali anaharibu mpira wake..hio medali ina nguvu za giza nini kwamba ukiivaa hio ndio utakua staa duniani.[emoji706][emoji706][emoji706] Achaneni kufatilia maisha ya watu. Au mnakaa uswaz nini , mwanaume kufatilia maisha ya mtu hivi ni kwanza umaskini, pili ni tabia ya kukaa uswahili kwenye vibaraza na wadada mnasutana na kufatilia anayeingia na kutoka.
 
Mnashangaa nini wakati mtu mwenyewe hana kichogo unategemea mtu wa aina hiyo atakuwa na akili?
Wewe mwemye akili nyingi, zimekupeleka wapi namini hata huna maisha wewe , kapuku, huyo asie na akili anakulisha wewe na liukoo lako lote la kimaskini. [emoji706]
 
Akili zenu zimejaa mavi. Kwamba mtu asipovaa medali anaharibu mpira wake..hio medali ina nguvu za giza nini kwamba ukiivaa hio ndio utakua staa duniani.[emoji706][emoji706][emoji706] Achaneni kufatilia maisha ya watu. Au mnakaa uswaz nini , mwanaume kufatilia maisha ya mtu hivi ni kwanza umaskini, pili ni tabia ya kukaa uswahili kwenye vibaraza na wadada mnasutana na kufatilia anayeingia na kutoka.
Mbona kama una makasiriko hivi..!!?? Kujiua kwake kisoka ni kwa kutoonyesha nidhabu kwenye kazi yake..!! We leta dharau kazini uone kitakachokukuta.
 
Mbona kama una makasriko hivi..!!?? Kujiua kwake kisoka ni kwa kutoonyesha nidhabu kwenye kazi yake..!! We leta dharau kazini uone kitakachokukuta.
Akili kisoda. Niletee sheria hapa za TFF kwenye kipengele cha kuvalishwa medali kwenye mechi za fainali. Fanya haraka tena.
 
Kila siku mnamuandama kama mume mwenza wenu, alivyondoka majini fc mkasema anapotea, hadi saiv hatujaona kama aliomba msaada kwenu kwamba amepotea aelekezwe njia, hajachukua golden boot, .ndio anaenda kupotea, hadi saivi hajaitisha press kuomba kuelekezwa njia sababu amepotea, leo tena hajachukua medali, ndio sjui mnasema ndio anazidi kupotea , tusubirie press conference aseme kama amepotea.
Ataita press aje aseme huko Azam analishwa ICE CREAM za moto..!!
 
Akili kisoda. Niletee sheria hapa za TFF kwenye kipengele cha kuvalishwa medali kwenye mechi za fainali. Fanya haraka tena.
Mwenzie KIBU siku anawafunga Yanga lile goli lake moja kwa mechi zote alizocheza msimu huu kwenye NBC ligi, kile kidole alichowaonyesha Yanga walimlima faini..!!! We subiri uone kile kitendo cha kususia uvaaji wa medali kama watamuacha..!!
 
Mbona kama una makasriko hivi..!!?? Kujiua kwake kisoka ni kwa kutoonyesha nidhabu kwenye kazi yake..!! We leta dharau kazini uone kitakachokukuta.
Hahaha, baadhi ya mashabiki wa Yanga furaha yao itakamilika pale tu Fei atakapopotea kisoka. Yaani haifichiki hata wajitahidi vipi unakaona kachuki kaleee.
 
Back
Top Bottom