Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

Huyu mToTo mbona ana matatizo mengi lakini ni msengemsenge sana kalelewa na Mama eeh? Ataishia kucheza Azam na chni ya hapo nje ya hapa labda Zanzibar uko.
Si Yanga si Simba hawawez accept mtoto wa namna hii, Malezi mabovu.
 
Akili zenu zimejaa mavi. Kwamba mtu asipovaa medali anaharibu mpira wake..hio medali ina nguvu za giza nini kwamba ukiivaa hio ndio utakua staa duniani.[emoji706][emoji706][emoji706] Achaneni kufatilia maisha ya watu. Au mnakaa uswaz nini , mwanaume kufatilia maisha ya mtu hivi ni kwanza umaskini, pili ni tabia ya kukaa uswahili kwenye vibaraza na wadada mnasutana na kufatilia anayeingia na kutoka.
Mbona unajieleza sana
 
Hilo atajua mwenyewe,ila kuzomewa atazomewa sana kila atakapo kutana na Yanga.

Nasri na Adebayor walivyokuwa wakija Emirates shughuli walikuwa nayo kwa mashabiki wa Arsenal na tena wenzetu mashabiki wengi sana kabla ya kuingia uwanjani wanapiga mitungi,kelele mwanzo mwisho.
Mshahara mzuri, kiwango kizuri, umri bado unaruhusu, as long as akiendelea hivi mateso ni wanaoshindwa kumove on.
 
Wasabato hii siku hawataisahau kamwe.Imagine umeuza kila kitu na kuaga watu wote wa duniani kwamba unaenda Mbinguni na Bwana Yesu, halafu hola.
Wasabato hii siku hawataisahau kamwe.Imagine umeuza kila kitu na kuaga watu wote wa duniani kwamba unaenda Mbinguni na Bwana Yesu, halafu hola.
Mkuu embu nifafanulie hapa kidocho,mbona kama sijaelewa hivi!?
 
Mshahara mzuri, kiwango kizuri, umri bado unaruhusu, as long as akiendelea hivi mateso ni wanaoshindwa kumove on.
Kama angekuwa kamove On hasingeweka ile ishara,ndio maana hata medali hakuvaa,sababu ya chuki yake.

Halafu issue sio hela,issues umeondokaje club yako ya zamani. Nasri still alikuwa anakunja Pound 200k,still alikuwa anazomewa,hela za kwake ila mashabiki kwao wanaona umeivunjia heshima club yao kwa kuwakejeli.
 
Mkuu embu nifafanulie hapa kidocho,mbona kama sijaelewa hivi!?
Mhubiri mmoja huko Marekani aitwaye Miller kwa kutumia rejea ya Biblia alipiga hesabu na kutabiri kuwa Yesu atarudi duniani kuwachukua wateule wake mnamo october 22 1844.
Watu zaidi ya laki moja waliuza vitu vyao na kugawa mali zao na wakaaga kabisa kwamba wanaenda Mbinguni na Bwana Yesu.
Tarehe ilipofika wakiwa wamekusanyika sehemu moja wakaanza kufarijiana kwamba kwa kuwa Yesu hajarudi asubuhi basi atarudi mchana,mchana ukapita bila Mwamba kuonekana,wakaambiwa furahieni maana bila shaka Yesu atarudi kutuchukua usiku,usiku na ukapita hola.
Hadi leo imebaki stori.
Kama unajua english google 'great disappointment' kusoma mkasa mzima.
 
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.

Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa Azam na gongo lake anavishwa medali.

Lakini Kwa namna nisiyotarajia mdogo wangu Feisal sikumuona. Labda kama atakuja na sababu isoyotia Shaka iliyosababisha asiwepo.

Kama Hana sababu zaidi ya makusudi na siasa za usajili basi amevuka mipaka ya ustaarabu wa soka.

Feisal ni mchezaji mzuri lakini Kwa mwenendo huu hapana, utapotea mdogo wetu.
He is a winner and anafurahia kushinda it’s like Jose wa uturuki.
Game ilikua mikononi mwao ila wenzake wamemuangusha
 
Kama angekuwa kamove On hasingeweka ile ishara,ndio maana hata medali hakuvaa,sababu ya chuki yake.

Halafu issue sio hela,issues umeondokaje club yako ya zamani. Nasri still alikuwa anakunja Pound 200k,still alikuwa anazomewa,hela za kwake ila mashabiki kwao wanaona umeivunjia heshima club yao kwa kuwakejeli.
Mkuu, unadhani kati ya wewe shabiki na Fei nani anateseka zaidi linapokuja suala la mpira na malipo? Wewe shabiki unayetaka kumuona akipotea na unamzomea ili useme ulikuwa sahihi vs Yeye ambaye hajapotea na mshahara anakula mzuri tu.
 
Nimekuuliza kwa nini jana yeye alifanya ishara ile na kutoka uwanjani bila kuvaa medali?

Kwa hiyo wewe kwa mtizamo wako Yanga alikuwa anapotea? Unasema hivyo sababu ww ni mnazi wa 5imba?

Nimekwambia swala la kula vizuri mashabiki hawaliangalii,wao wanacho mind heshima ya club yao kuvunjwa wakati akiondoka.

Mfano Mayele kaondoka na mashabiki hatuku mind ila baada ya kutema shit ajiandae kuzomewa na Yanga.

Halafu mbona Yanga wameondoka wengi, ila yy hakufuata utaratibu kama mwenzake Dube then akatema shits, so ukitema shits maana yake unamoyo wa kuvumilia yy kaanza waacha wamalize.

Wewe unamuonea huruma sababu 5imba,ila yy Kaivunjia Yanga heshima anacho kipata anastahili,swala la hela ni lake na familia yake na swala la heshima ya Yanga ni la Mashabiki.
 
Nimekuuliza kwa nini jana yeye alifanya ishara ile na kutoka uwanjani?

Kwa hiyo wewe kwa mtizamo wako Yanga alikuwa anapotea? Unasema hivyo sababu ww ni mnazi wa 5imba?

Nimekwambia swala la kula vizuri mashabiki hawaliangalii,wao wanacho mind heshima ya club yao kuvunjwa wakati akiondoka.

Mfano Mayele kaondoka na mashabiki hatuku mind ila baada ya kutema shit ajiandae kuzomewa na Yanga.

Halafu mbona Yanga wameondoka wengi, ila yy hakufuata utaratibu kama mwenzake Dube then akatema shits, so ukitema shits maana yake unamoyo wa kuvumilia yy kaanza waacha wamalize.

Wewe unamuonea huruma sababu 5imba,ila yy Kaivunjia Yanga heshima anacho kipata anastahili,swala la hela ni lake na familia yake na swala la heshima ya Yanga ni la Mashabiki.
Hahahaa. Mm naona unateseka nae. Huu ni mpira boss.
 
Back
Top Bottom