Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

Walikuwa wanamzomea, alipopata ndo akawambiia shush, Mm bado ni Fei Toto.
 
Ndo mlichobaki nacho Nguruwe FC. Wakati wa mnechi za mwisho za ligi ya NBC, mlitamani sana FEI afunge ili apate kiatu, lakini wakati huo huo mlitaka pointi zisiwe zaAzam FC.
Aah wapi, Wanaopambana na Fei ni vyura wachache wasio na akili na binadamu wenye roho mbaya, wanajificha tu kwenye jina la timu Yanga.

Furaha yao itakamilika wakimuona Fei kapotea na mpaka sasa inafurahisha kumuona Fei bado yupo kwenye kiwango.
 
Utoto

Utoto kama aliokuwa nao Vinicius wa Real Madrid, anapaswa acheze mpira badala ya kucheza na Mashabiki.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
As long as kiwango chake kipo vizuri ndo nakshi nakshi za soka hizo.
 
Aah wapi, Wanaopambana na Fei ni vyura wachache wasio na akili na binadamu wenye roho mbaya, wanajificha tu kwenye jina la timu Yanga.

Furaha yao itakamilika wakimuona Fei kapotea na mpaka sasa inafurahisha kumuona Fei bado yupo kwenye kiwango.
Hivi mtu anayesema Eng Hersi aondoke yeye ndio arudi Yanga huyo ana akili timamu?
 
Hivi walijichanganyaje...maana biblia inasema hakuna aijuaye siku wala saa!
Miller aliwapigia hesabu kali zinazoonyesha siku ya kuja kwa Yesu.
Ukiangalia zile hesabu hata kwa Wakristo wa sasa licha ya kuelimika bado wangeingia mkenge,ukizingatia ukweli kuwa Wakristo huwasikiliza zaidi viongozi wao kuliko maandiko matakatifu.
 
Fei anawauma hilo ndo tatizo.
Kwenye maswala ya mpira huwezi kuwapa ishara mbovu/kejeli washabiki wakuache.

Muulize Adebayor tabu alizokuwa alizokuwa akipata kila akija Emirates Arsenal baada ya kuwa kejeli Arsenal,alipo funga Etihad. Juzi tu hapo aliona hata aibu kusalimiana na Wenger kwenye fainal ya CAF (Ivory Coast vs Nigeria),mwenzake Kanu kaenda kwa kujiachia kapiga story na kocha wake vizuri tu. Kanu alivyo ondoka Arsenal kila akija kucheza anapewa heshima yake na mashabiki wa Arsenal.

Nasri nae aliongea shit alivyo enda Man City nae ilikuwa kila akikutana na Arsenal lazima azomewe na mashabiki wa Arsenal.
 
Wao ndo walianza kumzomea Fei.
 
Wao ndo walianza kumzomea Fei.
Lazima azomewe sababu za kejeli zake za kipindi kile cha kujiona mkubwa kuliko taasisi na kumponda kiongozi wa club.

Nasri na Adebayor waliachwa kuzomewa baada ya kuondoka EPL,ila kila walipokuwa wakikutana na Arsenal lazima wazomewe.
 
Uzuri inampa motisha zaidi. Anafanya vizuri sana uwanjani. Fei ni mwamba.
 
Uzuri inampa motisha zaidi. Anafanya vizuri sana uwanjani. Fei ni mwamba.
Hilo atajua mwenyewe,ila kuzomewa atazomewa sana kila atakapo kutana na Yanga.

Nasri na Adebayor walivyokuwa wakija Emirates shughuli walikuwa nayo kwa mashabiki wa Arsenal na tena wenzetu mashabiki wengi sana kabla ya kuingia uwanjani wanapiga mitungi,kelele mwanzo mwisho.
 
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.

Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa Azam na gongo lake anavishwa medali.

Lakini Kwa namna nisiyotarajia mdogo wangu Feisal sikumuona. Labda kama atakuja na sababu isoyotia Shaka iliyosababisha asiwepo.

Kama Hana sababu zaidi ya makusudi na siasa za usajili basi amevuka mipaka ya ustaarabu wa soka.

Feisal ni mchezaji mzuri lakini Kwa mwenendo huu hapana, utapotea mdogo wetu.
Pointless
Sio lazma kuvaa medali full stop
 
Jina lenyewe tu anaitwa Fei Toto! Kwa hali hii ni vigumu sana kumtenganisha huyo dogo na mambo ya kitoto.
 
Back
Top Bottom