Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

kitoto kinadeka deka tokea mama yake kuwa raisi kimekuwa jeuri sana
 
Dogo ana utoto mwingi sana. Atafutiwe watu wa kumshauri.
 
Dogo ana dharau, kiburi kilicho komaa mnoo.

Kwa Ile ishara alipofunga Gori lake Ina tafsiri Pana sana, wala sio nongwa
Sio hata ngumu kumuona Feisal kuwa kwa sasa ana pride sana, Kendrick Lamar alisema "Pride is gonna be the death of you and me".

Abadilike bado mapema.
 
Hahaha, baadhi ya mashabiki wa Yanga furaha yao itakamilika pale tu Fei atakapopotea kisoka. Yaani haifichiki hata wajitahidi vipi unakaona kachuki kaleee.
Tuchukulie Wachezaji wote wa Azam wangesusia kuvalishwa medali, wewe ungeona poa tu Mkuu? Mambo haya madogo ndio yanafanya Wachezaji wengi wa Kitanzania kushindwa kuendeleza career zao.
 
Nimeteska sehemu gani, niimekupa mifano halisi unasema nateseka.

Kwanza huoni kwamba unateseka ww sababu mechi haikuhusu. Halafu waliocheza jana wapo level tofauti na ww,wenzako wapo Championship, ww upo confederation level mbili tofauti.
Hahaha. Mechi hainihusu. Embu tuishie hapa boss. Pumzika.
 
Tuchukulie Wachezaji wote wa Azam wangesusia kuvalishwa medali, wewe ungeona poa tu Mkuu? Mambo haya madogo ndio yanafanya Wachezaji wengi wa Kitanzania kushindwa kuendeleza career zao.
Upo sawa.
 
Fei ni mwamba anawachachafya mishabiki michawi ya utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…