Feisal is smart! Deal with big fish

Leo unamsifia fatima karume wakati wa Magufuli ulikuwa ukimtukana na kumuita shoga kweli wewe dishi lipo sawa kweli?
Ndugu yangu nina mengi basi? Nipo paleee! Fatuma kalibeba hili na Karumes watafanya nini? Kama aliwahi kuwa against CCM wakabaki macho kodo itakuwa Uto timu ya babu? Nipo paleeee [emoji23]
 
Endelea kulikalia wala usichomoe Hadi unye
 
Umeelewa ulichoandika mkuu?
 
Si aliwaandikia ile ya kwanza, wakasema hakufuata taratibu, TFF haikutoa idhini, wameandikiwa TFF ndio wamejibu walichojibu
Awaandikie nyingine tena ya kuomba taratibu za kuvunja mkataba na kuwakumbusha kuwa hataki kurudi kambini wala mazoezini. Yanga watamwachia tu Haha.
 
Naona hamjachoka kumdanganya, nawashauri tu mwambieni arudi Yanga ndio salama yake.
 
Nyie ndo mnaaomdanganya FEI Toto..!! Mpaka sasa, Fei kishaanza kutoweka midomoni na vichwani mwa wapenzi wa soka..!!

Hata talaka kwenye ndoa, KABLA YA KUPELEKA KESI MAHAKAMANI, LAZIMA FAMILIA IKAE NA IONEKANE IMESHINDIKANA..!!
 
Ukisema kuongea na waajiri wake unamaanisha kuripoti kambini ambapo hataki kuwepo au unamaanisha kupeleka barua ya kuomba kupewa taratibu za kuvunja mkataba?
Alhaji Rage Alisha lisema hili, Sheria za kazi / Sheria za nchi ni tofauti na Sheria za FIFA.
Kumwandikia mwajiliwako notice ya 24hrs ya Kuvunja mkataba ni Sheria za nchi.
FIFA hawana utaratibu huo na hawawezi luhusu ilo kwakua Ipo siku unaweza Kupoteza mchezaji zaidi ya mmoja Kwa mkupuo.
Ndio maana Rage alimshauri Fisal arudi kuongea na Yanga Ili wafikie muafaka na kuachana bila ugomvi.
Akaongeza kuwa Feisali amfuate yeye amsaidie tatizo alilo nalo.
 
Aliandika kwenda TFF. Awaandikie Yanga sasa tuone majibu yao. Hahaha
Yanga wametimiza masharti ya mkataba....hivyo Hana hoja ya kuwaandikia kuvunja mkataba kienyeji...

Ndio maana Yanga wanataka apeleke ofa wamuuze kwa faida ama la wanshughulikie kwa kuto utendea Haki mkataba....

Amekwama.....
 
Hapo kwenye tafsiri ya mawasiliano na Yanga ndo pana shangaza.

1. Sioni madhara yoyote ya Fei kutuma mawakili wake Yanga kwenda kuomba taratibu za kuvunja mkataba.

2. Sioni madhara Yanga ikiweka wazi hizo taratibu kwa maandishi na kumpatia Fei bila hata Fei kurudi Yanga.
 
Yanga wametimiza masharti ya mkataba....hivyo Hana hoja ya kuwaandikia kuvunja mkataba kienyeji...

Ndio maana Yanga wanataka apeleke ofa wamuuze kwa faida ama la wanshughulikie kwa kuto utendea Haki mkataba....

Amekwama.....
Okey boss.
 
Hivi mnaposema kuongea na waajiri wake manaanisha nini ?

Maana hapo awali alishatuma na barua huko jangwani.
Mikataba haivunjwi kuholela kama utakavyo wewe.
Ingekuwa hivyo basi timu nyingi zingekuwa zinajifia wakati ligi inaendelea , wachezaji wanarubuniwa then wote wanadai mikataba ivunjwe.
 
Mikataba haivunjwi kuholela kama utakavyo wewe.
Ingekuwa hivyo basi timu nyingi zingekuwa zinajifia wakati ligi inaendelea , wachezaji wanarubuniwa then wote wanadai mikataba ivunjwe.
Tatizo mnatanguliza ushabiki na hisia, hakuna mkataba usio vunjika
 
Msimu huu haya ndio mambo yaliyowapa furaha mashabiki wa Simba
1) Nabi kutosaini mkataba mpya
2) Mgogoro wa Yanga na Sport pesa
3) Mgogoro wa Yanga na Feisal
4) Morrison kutoonekana uwanjani
5):kuifunga Yanga
6) Kuishia robo fainali klabu bingwa
7) kufa kiume

Wakati wanaangaika na hayo, Yanga inagombea makombe matatu msimu huu lakini timu ya faraja fc wamebakiza kombe moja tu wanalogombania.
 
Tatizo mnatanguliza ushabiki na hisia, hakuna mkataba usio vunjika
Ukishaishiwa hoja laxima ukimbilie comment ya aina hiyo uliyoitoa.
Ngoja nikusaidie, kama nitaweza lakini. Ni hivi, ingetokea Yanga hawamlipi Feisal stahiki zake kwa mujibu wa mkataba au wangekua wameukiuka mkataba wao hapo sawa, huo mkataba ungevunjika. Feisal kashindwa kuthibitisha kuwa Yanga wamekiuka makubaliano, unataka nini kingine?
Mkataba hauvunjika kwa sababu eti siku hiyo umeamka unajisikia kuvunja mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…