Wakuu,
Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatuma [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki mudhalilishe professional yake kizembe! Sasa goma limekwama kooni, Dogo amekaa pembeni big fish wanachapana [emoji23]
Fatuma kashasema hili goma lake! Hajasoma vichochoroni [emoji23] , kiufupi Uto wana kuwa dragged into complex trap wachekwe! Mtumieni mchezaji mnataka avunje vipi mkataba biashara iishe bila any damage! Otherwise nimekaa paleeee!