Feisal is smart! Deal with big fish

Madhara ninayoyaona mimi ni huko kuonyesha kiburi kutotaka kijishusha.
Kwani akiripoti kambini na kuendelea na madai yake watamuua?
Aripoti kwanza, kwakuwa hana furaha na timu, kwenye mazoezi apunguze bidii watamruhusu tu.
 
Ofcourse hiyo ni move nzuri ila inawezekana haina maslahi kwake kutegemeana na anachotaka kufanya. Hakuna aibu yoyote kwa Fei kurudi Yanga esp wao Yanga wenyewe wamekuwa wakisema wapo tayari kuboresha maslahi yake ila inawezekana kuna maslahi makubwa yanagombaniwa kati ya Yanga na Fei. Huenda Fei anaitaka signing Fee ya wanaomuhitaji.
 
Wakati Feisal anasign mkataba wake hakuwa na wakili, angekuwa nao asingefanya haya makosa,amewatafuta baada ya kuona mambo yamekuwa magumu.Kwenye football kuvunja mkataba lazima pande zote mbili (muajiri & muajiriwa) mkutane mjadili jinsi ya kuvunja mkataba na ikiwa mtashindwana pande moja inaweza kwenda FIFA/CAS wakaingilia,Feisal alikosea jinsi alivyotaka kuondoka na hili ndio linamfanya akwepe kwenda kuongea na Yanga
 
Awe mjanja asiwe mjanja zingine zote porojo. Mwisho wa siku zipo kanuni na sheria za FIFA, hakuna ataeziruka hizo.
Mwenye huruma atamhurumia kwa kuzifata sheria.
 
Hii ya mkutane mjadili ndio muvunje mkataba ni mutual agreement hiyo lakini kuna nyingine upande mmoja tu unaweza vunja pawepo na sababu au kusiwepo na sababu na kama hamna sababu fidia na adhabu zinahusika
 
Simba ni taasisi ina maamuzi yake na Yanga ni taasisi ina maamuzi yake
 
Inaonekana hayo masharti ni siri nzito sana ambayo hata kwenye maandishi haitakiwi kuwepo bali ni masikio ya Fei tu ndo yanapaswa kuisikia ndani ya ofisi za Yanga hivyo anatakiwa aende.
Okay Feisal alisema amevumilia manyanyaso akaulizwa akasema hawezi kuyataja ila unataka Yanga itaje si ndio?
 
Reactions: Tsh
Hii ya mkutane mjadili ndio muvunje mkataba ni mutual agreement hiyo lakini kuna nyingine upande mmoja tu unaweza vunja pawepo na sababu au kusiwepo na sababu na kama hamna sababu fidia na adhabu zinahusika

Tupe mifano ya hicho unachokisema
 
Shida inakuja hiyo signing fee anayoitaka itazidi kuchelewa akiendelea kukaza shingo au asiipate kwa kiasi anachokitarajia kwa sababu ya kushuka kiwango.
Any way maamuzi ni yake, "akili kumkichwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…