PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ndiyo sifa ya kichwa hiyo, ulitaka kiwe kilaini kama tako?Kuna watu mnavichwa vigumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo sifa ya kichwa hiyo, ulitaka kiwe kilaini kama tako?Kuna watu mnavichwa vigumu
Endela kukaza fuvuNdiyo sifa ya kichwa hiyo, ulitaka kiwe kilaini kama tako?
We mchawi nini mkuu? Umejuaji kuwa huwa NAKAZA?Endela kukaza fuvu
Madhara ninayoyaona mimi ni huko kuonyesha kiburi kutotaka kijishusha.Hapo kwenye tafsiri ya mawasiliano na Yanga ndo pana shangaza.
1. Sioni madhara yoyote ya Fei kutuma mawakili wake Yanga kwenda kuomba taratibu za kuvunja mkataba.
2. Sioni madhara Yanga ikiweka wazi hizo taratibu kwa maandishi na kumpatia Fei bila hata Fei kurudi Yanga.
Ofcourse hiyo ni move nzuri ila inawezekana haina maslahi kwake kutegemeana na anachotaka kufanya. Hakuna aibu yoyote kwa Fei kurudi Yanga esp wao Yanga wenyewe wamekuwa wakisema wapo tayari kuboresha maslahi yake ila inawezekana kuna maslahi makubwa yanagombaniwa kati ya Yanga na Fei. Huenda Fei anaitaka signing Fee ya wanaomuhitaji.Madhara ninayoyaona mimi ni huko kuonyesha kiburi kutotaka kijishusha.
Kwani akiripoti kambini na kuendelea na madai yake watamuua?
Aripoti kwanza, kwakuwa hana furaha na timu, kwenye mazoezi apunguze bidii watamruhusu tu.
Hata mimi namshangaa.Unamsikiliza Fatma mzee baba?
Wakati Feisal anasign mkataba wake hakuwa na wakili, angekuwa nao asingefanya haya makosa,amewatafuta baada ya kuona mambo yamekuwa magumu.Kwenye football kuvunja mkataba lazima pande zote mbili (muajiri & muajiriwa) mkutane mjadili jinsi ya kuvunja mkataba na ikiwa mtashindwana pande moja inaweza kwenda FIFA/CAS wakaingilia,Feisal alikosea jinsi alivyotaka kuondoka na hili ndio linamfanya akwepe kwenda kuongea na YangaHapo kwenye tafsiri ya mawasiliano na Yanga ndo pana shangaza.
1. Sioni madhara yoyote ya Fei kutuma mawakili wake Yanga kwenda kuomba taratibu za kuvunja mkataba.
2. Sioni madhara Yanga ikiweka wazi hizo taratibu kwa maandishi na kumpatia Fei bila hata Fei kurudi Yanga.
Hakuna mkataba unavunjwa kama kuniTatizo mnatanguliza ushabiki na hisia, hakuna mkataba usio vunjika
Awe mjanja asiwe mjanja zingine zote porojo. Mwisho wa siku zipo kanuni na sheria za FIFA, hakuna ataeziruka hizo.Wakuu,
Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatuma [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki mudhalilishe professional yake kizembe! Sasa goma limekwama kooni, Dogo amekaa pembeni big fish wanachapana [emoji23]
Fatuma kashasema hili goma lake! Hajasoma vichochoroni [emoji23] , kiufupi Uto wana kuwa dragged into complex trap wachekwe! Mtumieni mchezaji mnataka avunje vipi mkataba biashara iishe bila any damage! Otherwise nimekaa paleeee!
Hii ya mkutane mjadili ndio muvunje mkataba ni mutual agreement hiyo lakini kuna nyingine upande mmoja tu unaweza vunja pawepo na sababu au kusiwepo na sababu na kama hamna sababu fidia na adhabu zinahusikaWakati Feisal anasign mkataba wake hakuwa na wakili, angekuwa nao asingefanya haya makosa,amewatafuta baada ya kuona mambo yamekuwa magumu.Kwenye football kuvunja mkataba lazima pande zote mbili (muajiri & muajiriwa) mkutane mjadili jinsi ya kuvunja mkataba na ikiwa mtashindwana pande moja inaweza kwenda FIFA/CAS wakaingilia,Feisal alikosea jinsi alivyotaka kuondoka na hili ndio linamfanya akwepe kwenda kuongea na Yanga
Simba ni taasisi ina maamuzi yake na Yanga ni taasisi ina maamuzi yakeYanga mbona hamsemi
Mlimfanya nini Fei hadi hawataki namna hii?
Wengi wanamuangalia fei lakini mimi naiangalia Yanga.
Mfanyakazi wenu fei hawezi from no where aichukie Yanga kiasi hiki wakati alikataa kuja Simba kwa kuipenda Yanga.
Pili kama mchezaji amewachukia kiasi hiki mwacheni aende na mtozeni faini zilizo kwenye Mkataba.
Wenzenu Simba mbona huwa wanawaacha tu wachezaji walio ishiwa mapenzi na timu kama Dejani.
Yanga sio bure kuna shida mahali.
Okay Feisal alisema amevumilia manyanyaso akaulizwa akasema hawezi kuyataja ila unataka Yanga itaje si ndio?Inaonekana hayo masharti ni siri nzito sana ambayo hata kwenye maandishi haitakiwi kuwepo bali ni masikio ya Fei tu ndo yanapaswa kuisikia ndani ya ofisi za Yanga hivyo anatakiwa aende.
Alikudangaya nani?Kwann timu inaweza kuvunja mkataba muda wowote na mchezaji lakin mchaezaji hawezi vunja mkataba na timu ?????
Yanga hana sababu ya kutaja manyanyaso.Okay Feisal alisema amevumilia manyanyaso akaulizwa akasema hawezi kuyataja ila unataka Yanga itaje si ndio?
Hii ya mkutane mjadili ndio muvunje mkataba ni mutual agreement hiyo lakini kuna nyingine upande mmoja tu unaweza vunja pawepo na sababu au kusiwepo na sababu na kama hamna sababu fidia na adhabu zinahusika
Kasome sheria za fifaTupe mifano ya hicho unachokisema
Ongea ukweli basi tuujueHivi unapata nini kuongea uongo?
Shida inakuja hiyo signing fee anayoitaka itazidi kuchelewa akiendelea kukaza shingo au asiipate kwa kiasi anachokitarajia kwa sababu ya kushuka kiwango.Ofcourse hiyo ni move nzuri ila inawezekana haina maslahi kwake kutegemeana na anachotaka kufanya. Hakuna aibu yoyote kwa Fei kurudi Yanga esp wao Yanga wenyewe wamekuwa wakisema wapo tayari kuboresha maslahi yake ila inawezekana kuna maslahi makubwa yanagombaniwa kati ya Yanga na Fei. Huenda Fei anaitaka signing Fee ya wanaomuhitaji.